Watu walio vizuri siku zote huwa wanapata kazi. Social protection industry ya sasa siyo kama ya zaman. With high competition kwenye industry kila FUND inataka kihire best employees. Kwahiyo kijana kazana. Kama we kilaza waachie wenye akili zao wapate kazi

Kuna watu wapo muda wanafanya intership pale ppf na wao hata kwenye usahili hawajaonekana how come waje kukuajili wewe au mm .... siku zote HR hawapendi kurecruit new member cox it cost resource ya muda na pesa so ni vigumu kutupa kaz kax watu kama ss wakat tiar wana watu wao wanafanya nao kaz na washajua kazi tiar....