nasikia paper zilipotea mtihani unarudiwa maana yake watu wameitwa posts zote walizofanya
Mmh ya kweli hayo?...paper zinawezaje kupotea kirahs hvo...
nasikia paper zilipotea mtihani unarudiwa maana yake watu wameitwa posts zote walizofanya
Wakuu na post zingine wameita, aliyeitwa post zingine mbali na mtoa mada aseme.asante
mkuu Raqeeb wap ww
hilo jengo la elimu la elimu ya watu wazima hata silijui mie
hilo jengo lina madarasa ya kufanyia mtihani wa kuandika ama limekaa kioral oral?..member care SAA NNE, contribution saa tano, operations saa nne..venue jengo la elimu ya watu wazimaa wamebadilisha venue tuu watu ni nyomi vilevile
Mmmhhh isije kuwa km ya nssf wakuu.
Sija pokea sms bado kwa upande wangu wa operation officer nikipokea ntakujulisha mkuu
mkuu Raqeeb wap ww
Sija pokea sms bado kwa upande wangu wa operation officer nikipokea ntakujulisha mkuu