Kitotonya
Senior Member
- Dec 9, 2011
- 188
- 60
wameshortlist watu 40 kwa kila post interview itakua written badaa ya hapo watachujwa tena zen ndiyo oral,mmmh pamekaa vibaya hapa.
hizi taarifa ni za kweli..maana wengine tupo bukoba ndio tunakusanya nauli..tuje alafu tunakuta ule utitiri kama wa pale DUCE