Povu la Emmanuel Mbasha baada ya madam Flora kuzindua kitabu chenye jina 'Siri za Flora Mbasha'

Hawa nao,kwani inakatazwa kufanya tendo la ndoa mtu akiwa kwenye siku zake?Si anajisafisha vizuri tu jamani then anampa mmewe?kuna ubaya gani kwani.Hawa nao sijui wakoje ndo nini kutoleana mambo yenu mliyokuwa mkifanya mkiwa mnapendana?Si waangalie yaliyopo?Yaliyopita wayaache huko huko kwenye ndoa yao ya zamani.
Wewe ni mwanamke uliyekomaa katika maadili ya ndoa. Hongera sana.
 
Kwa Cc Watuwazima, Inaonyesha Flora Alimpenda Sn Mbasha, Wala Huyo Mwanaume Alienae Ss Ni Wakudanganyishia Umma Ionekane Ame Move On, Bt Hajafanikiwa Kureplace Nafac Ya Mbasha. She's A Looser. Mm Inanikutaga Sometymes Kwa Mzaz Mwenzangu, Toka Tuachane Ni Mwaka Wa Pili Ss, Lkn Cku Akijikia Anantumia Msg Za Matusi Hadi Nakoma. Sema Napuuzia Najua Wanawake Ni Viumbe Dhaifu Na Namuombea Kwa Mungu Ampe Htaj La Moyo Wake Maana Ni Km Kachanganyikiwa. Namshauri Mbasha Asishndane Na Mwanamke Kwan Wametoka Ubavuni Mwetu. Ukishindana Nao Kwanza Unamnyanyasa Kijinsia Kwan Wao Ni Dhaifu Kuliko Cc Na Pili Tutakua Tunamkosea Mungu Kwan Tumeambiwa Tuwatawale. So Kukaa Kmya Ndo Kutawala Kwenyewe.
 
Tatizo LA kuoa msichana alietumika ndo hili.
Yaaan me kwa mwendo huu naweza nisioe coz me akinizingua nampa kichapo
 
Flora is a mental case. Juzijuzi kasema Mbasha hakuwa akimtosheleza. Ni Ajabu mtu huyo huyo amparamie akiwa na wekundu wa Msimbazi.

Huyo jamaa aliyenaye sasa hivi ajiandae kuanikwa wakitosana.

Uzuri wenyewe uko wapi?
 
Dear flora,mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe hilo unajua,mwanaume ni mwanaume huwezi kushindana nae, ulishindwa kumshinda Shetani na ningumu mno kwa mtumishi we mungu kupoteza sifa na upako uliokuanao,mpk unatoa kitabu it's total failure u have no one to advice u? Huwezi kumwaibisha baba mwanao tena mkubwa ivyo ?what is sex in mp it's just normal read book n see,hata ukitoa nyimbo sasa cant heat mama huna ule upako tena !kuharibu baraka ya kwanza ni laana jamani ,ushauri endelea wote kuomba toba acheni lawama km umeanza maisha kaa kimya concentrate on what matter n not the past .fainali uzeeni mtatafutanaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom