MgungaMiba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2011
- 999
- 815
Lakini the difference is Komba kila alivyokuwa akizidi kunenepa wanachama walikuwa wakizidi kuongezeka!Sisi watu wa mahesabu tunasema hivi;
Unene wa Nape is indirectly proportional to mahaba kwa CCM.
Yaani anavyozidi kunenepa ndivyo idadi ya wanaCCM inavyopungua.
Kwa lugha nyingine kutakata kwa Nape kunachangia kudhoofika kwa CCM.
Yawezekana kwa kila kilo anayoongeza, CCM inapoteza maelfu ya wanachama.
Bila shaka 2015 atakapomfikia Komba, CCM haitakuwa na mwanachama aliyebaki!
Na hapo Mwigulu bado hajatajwa, kaazi kweli kweli!