Posho yaanza kuleta ugomvi kwa Mukama na Nape

Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?
Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).
Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!
Hivi wewe dada mbona una nyodo hivi? Mmeo ana kazi!! Maana huu wivu wako ni zaidi ya wivu wa kike!!
 
Gwandas mnaitamani CCM, maana hamlali hamshindi mnafatilia Nape anakula nini Mukama anakula nini, Kikwete anavaa nini.
Leteni ile picha ya matembezi ya Arusha tuone njuti alizopiga Padre Slaa.
Wivu wa kike!!!
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!
Uko nje ya mada.
Mwenyekiti wenu aliwaagiza mkanushe pale mnapozushiwa habari za uongo.
Ila wewe unakuja na counter attack kwa style ya le mutuz ndio maana chama chenu nakifananisha na mbwa anayekula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyo anakuwa ni nguruwe! si unajuwa nani apendae kula hao katika Tanzania hii, au sio?
 
Kumbe chama kimemwambia anatumia pesa nyingi bila mafanikio wakati wanachama wao wanazidi kuhama.

Na mukama kasema amenenepa sana kwa muda mfupi inaonekana haumizwi na wanachama kuhamia CHADEMA.

Kazi ya kufungua mechi za wabunge ni kujijenga yeye na sio CCM waliomtuma

Hakuna cha ajabu alichofanya Nape. Alishawahi kusema akiwa BK kuwa hata kama wanachama wote wanahama yeye atabaki ccm. Kwa hiyo yanayotokea hayatamnyima usingizi
 
Wadanganyika tuweni makini ni kauli ya aliyekuwa katibu mkuu wa ccm,kweli kwenye mabadiliko wanahitaji mwingine awe na kitambi
 
Back
Top Bottom