Posho yaanza kuleta ugomvi kwa Mukama na Nape

Sisi watu wa mahesabu tunasema hivi;
Unene wa Nape is indirectly proportional to mahaba kwa CCM.
Yaani anavyozidi kunenepa ndivyo idadi ya wanaCCM inavyopungua.
Kwa lugha nyingine kutakata kwa Nape kunachangia kudhoofika kwa CCM.
Yawezekana kwa kila kilo anayoongeza, CCM inapoteza maelfu ya wanachama.
Bila shaka 2015 atakapomfikia Komba, CCM haitakuwa na mwanachama aliyebaki!
Na hapo Mwigulu bado hajatajwa, kaazi kweli kweli!
Lakini the difference is Komba kila alivyokuwa akizidi kunenepa wanachama walikuwa wakizidi kuongezeka!
 
Nape na ccm ni kama Kupe na Ng'ombe[SUP]1[/SUP]:

Ng'ombe anachinjwa Kupe hana habari!

Ng'ombe anachunwa Kupe hana habari!

Ngozi inawambwa Kupe hana habari!

Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka!

Alaa! Huyu ngo’mbe kumbe keshachinjwa!

[SUP]1[/SUP]
Honolulu (2012)

TUMBIRI (PhD, University of HULL, UK)

Nimeipenda sana hii mkuu
 
Sisi watu wa mahesabu tunasema hivi;
Unene wa Nape is indirectly proportional to mahaba kwa CCM. Yaani anavyozidi kunenepa ndivyo idadi ya wanaCCM inavyopungua.
Kwa lugha nyingine kutakata kwa Nape kunachangia kudhoofika kwa CCM.

Yawezekana kwa kila kilo anayoongeza, CCM inapoteza maelfu ya wanachama. Bila shaka 2015 atakapomfikia Komba, CCM haitakuwa na mwanachama aliyebaki!

Na hapo Mwigulu bado hajatajwa, kaazi kweli kweli!

Nape alikwishatamka kwa mdomo wake mwenyewe akiwa Missenyi mkoani Kagera kwamba hata wanachama wote CCM wakihama akabaki peke yake chama hakitakufa.
 
labda kama ni mchanga katika siasa za tanzania

jaribu kukumbuka aliye choma nyuma igunga alikuwa nani ?? Aliye mumwagia tindikali yule kijana alikuwa nani. Hapa nakushauri tumia akili ndogo sana utapata majibu sahihi kuhusu nauaji hayo

siasa siyo ugomvi, vita, fitina mauaji siasa ni kubishana kwa kujenga hoja kwa kuwa mumefilisika mnatupeka kubaya loh !!

Singida Jee?

Kabla ya ujio wenu wa fujo hii nchi ilikuwa kwenye amani na utulivu, siasa zenu maji taka na za kijinga ndio zinapelekea watu kuuwana. Kuna sera ya amani ikawa ya "wapiganaji"?
 
​posho za nape zinakutesa
Singida Jee?

Kabla ya ujio wenu wa fujo hii nchi ilikuwa kwenye amani na utulivu, siasa zenu maji taka na za kijinga ndio zinapelekea watu kuuwana. Kuna sera ya amani ikawa ya "wapiganaji"?
 
​sasa mnaona lowasa na rostam walivyo mabwana wa ccm bila wao kuwaangukia chama chenu kwishney ccm bye bye
 
Mkikosa
hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine
na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!

Yaani kuna matumizi ya ovyo ya fedha za ruzuku kiwango hicho? Hata
msajili wa vyama hajazuia ruzuku? CAG naye hajaona, Ofisi ya PM nayo je?
Bunge? Jakaya kikwete kimya? Ama kweli serikali ni dhaifu.
 
Yaani kuna matumizi ya ovyo ya fedha za ruzuku kiwango hicho? Hata
msajili wa vyama hajazuia ruzuku? CAG naye hajaona, Ofisi ya PM nayo je?
Bunge? Jakaya kikwete kimya? Ama kweli serikali ni dhaifu.

Ikiwa Serikali ni dhaifu sasa hao wapinzani wakoje? hapo sasa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom