Posho yaanza kuleta ugomvi kwa Mukama na Nape

Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!

utoto shida sana yale mafuso yana kila kitu ndani yaani maspika, generator, etc garama ya jumla ndiyo hiyo Hata hivyo si umeona mziki wake unavyo watesa hadi hamlali
 
Leo nimecheka sana,ukivuta picha Mukama alivyo mshari na mustachi wake ule,hakawii kutega mguu umkanyage ili akurudishie.
 
utoto shida sana yale mafuso yana kila kitu ndani yaani maspika, generator, etc garama ya jumla ndiyo hiyo Hata hivyo si umeona mziki wake unavyo watesa hadi hamlali

Naona hujui kuwa mziki unakodishwa peke yake hapo Bilicanas.
 
Wakati Mukama ananawirisha MUSTACHI Nape Anarekebisha SHAVU Ha ha ha Mzee wa Watu anakufa KISABUNI LoL!
 
Naona hujui kuwa mziki unakodishwa peke yake hapo Bilicanas.
una shida ya kufikiri huwezi yafahamu vizuri masuala yasiyo kuhusu shughurikia mambo ya chama chako ili kushauri migogoro ya makundi ndani ya chama yafe ili mpumzike salama 2015
 
Mukama anapaswa Kuelewa Kwamba some Posheni of Ze Posho Nape huwa anawalipa akina zomba , @Ribosone Ritz kumchafua yeye (Mukama) hapa Jamvini
 
Last edited by a moderator:
Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!

Down 2 the business...movie ya kova imefika sokoni?
 
kwikwikwikwikw eti mbona ananenepa sana.......magamba bana

Jamani amennepa au amekuwa ?

Nape%282%29.jpg
310401_261183447236409_100000342668655_924186_429896_n.jpg
Nape+Mnauye.JPG
 
Sisi watu wa mahesabu tunasema hivi;
Unene wa Nape is indirectly proportional to mahaba kwa CCM. Yaani anavyozidi kunenepa ndivyo idadi ya wanaCCM inavyopungua.
Kwa lugha nyingine kutakata kwa Nape kunachangia kudhoofika kwa CCM.

Yawezekana kwa kila kilo anayoongeza, CCM inapoteza maelfu ya wanachama. Bila shaka 2015 atakapomfikia Komba, CCM haitakuwa na mwanachama aliyebaki!

Na hapo Mwigulu bado hajatajwa, kaazi kweli kweli!
 
Gwandas mnaitamani CCM, maana hamlali hamshindi mnafatilia Nape anakula nini Mukama anakula nini, Kikwete anavaa nini.

Leteni ile picha ya matembezi ya Arusha tuone njuti alizopiga Padre Slaa.
 
una shida ya kufikiri huwezi yafahamu vizuri masuala yasiyo kuhusu shughurikia mambo ya chama chako ili kushauri migogoro ya makundi ndani ya chama yafe ili mpumzike salama 2015

Nyie hapa mnaongelea chama chenu? kwi kwi kwi teh teh teh! mkishikwa pazuri huwa mnang'aka.

Porojo zenu zote za hapa mnataka kufifirisha habari za mauaji yenu Singida!
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!

yaani sawa na kupitisha bajeti yenye kutegemea nchi wafadhili = dr.columbasi/mtalii
 
ccm wamekata tamaa, hakuna linaloendelea zaidi ya kusubiri muda ufike wapumzike kidogo then waondoke kwenye ramani ya vyama vya siasa kama, UNIP, KANU,
 
Nape na ccm ni kama Kupe na Ng'ombe[SUP]1[/SUP]:

Ng'ombe anachinjwa Kupe hana habari!

Ng'ombe anachunwa Kupe hana habari!

Ngozi inawambwa Kupe hana habari!

Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka!

Alaa! Huyu ngo’mbe kumbe keshachinjwa!

[SUP]1[/SUP]
Honolulu (2012)

TUMBIRI (PhD, University of HULL, UK)
Yaani nimecheka sana!
 
nyie hapa mnaongelea chama chenu? Kwi kwi kwi teh teh teh! Mkishikwa pazuri huwa mnang'aka.

Porojo zenu zote za hapa mnataka kufifirisha habari za mauaji yenu singida!
labda kama ni mchanga katika siasa za tanzania

jaribu kukumbuka aliye choma nyuma igunga alikuwa nani ?? Aliye mumwagia tindikali yule kijana alikuwa nani. Hapa nakushauri tumia akili ndogo sana utapata majibu sahihi kuhusu nauaji hayo

siasa siyo ugomvi, vita, fitina mauaji siasa ni kubishana kwa kujenga hoja kwa kuwa mumefilisika mnatupeka kubaya loh !!
 
Nataka mwenye mapenzi mema na ccm na mwanachama shupavu wa ccm asikilize hili Nape si mwanasiasa makini yupo zaidi kibinafsi kuliko chama.

Ukiangalia aliyonongoneza mukama ni kweli kabisa bado ana mambo ya kupokelewa na chipukizi hajagundua kuwa kuwekewa red carpet kwa siasa za sasa ni kujimaliza.

Wanachama wa CCM wanataka uwe nao kimkakati hata wakiwa 10 kuliko kukodi wanachama kutoka wilaya jirani kwa hili naona 2014 atakuwa amewapa CHADEMA mtaji mkubwa saana maana anajaribu kuwaiga wao hana njia zake binafsi za kukijenga chama.

Natoa hoja
 
Back
Top Bottom