Jamani hii sio fair. Huu ni wizi kabisa. Kama kamati ya mrema ya serikali za mitaa inataka kuonekana inafanya kazi ianze na baraza hili la madiwani!! Hii inanikumbusha baraza la madiwani kigoma waliwahi kufanya kikao chao mtwara "ili na wao wapate nafasi ya kulitembelea daraja la mkapa"
[TABLE="width: 99%, align: left"]
[TR]
[TD="class: Headline"]
Madiwani Dar wapata semina elekezi Morogoro
Imeandikwa na Eline Shaidi, Morogoro; Tarehe: 15th June 2011 @ 21:45 Imesomwa na watu: 14; Jumla ya maoni: 0
[/TD]
[/TR]
[TABLE="align: right"]
[TR]
[TD][TR]
[TD][TABLE="width: 98%, align: right"]
[TR]
[TD="class: kaziBody"]Habari Zaidi:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: Marquee"]
Madiwani Dar wapata semina elekezi Morogoro
Mwanafunzi aliyepigwa risasi apewa mil. 1/-
TANAPA yakusanya milioni 73/- za faini
'Msauzi' akiri kukutwa na bangi, afungwa miaka 3
Umoja wa Mataifa waifagilia Tanzania
'Vipuuzeni vyama vinavyochochea chuki'
Waziri- Wazazi msiwanyanyase watoto
Lushoto waanza mipango ya kuvuna maji ya mvua
Walimu 104 wafunzwa kuinua kiwango cha ufaulu
Dk. Shein aelezea mikakati ya kuimarisha kilimo
RC ' awakoromea' wataalamu wa kilimo
Arusha watumia Sh milioni 95 kujenga daraja
Aliyejingua pacha 4 afikisha watoto saba
Bunge-Tanesco isizalishe umeme
Wapinzani wataka wenye nyumba walipe kodi
Bajeti ya Zanzibar kusomwa leo
'Maandamano hayawezi kumaliza shida UDOM'
Wananchi waua watuhumiwa 3 wa ujambazi
Mokiwa: Sijatenda dhambi, njooni mnikamate Kikwete kuhutubia mkutano wa ILO
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[TABLE="width: 98%, align: right"]
[TR]
[TD="class: kaziBody"]Habari zinazosomwa zaidi:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: Marquee"]
Balaa lingine kwa Chenge
Salama: Jasiri aliyetangaza kuishi na virusi vya Ukimwi
Housigeli anataka kuniharibia ndoa
Dina Marius, mrithi wa Amina Chifupa
Kikwete achekecha wakuu wa wilaya
Vatican yamvua jimbo Askofu
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano waongezeka kwa 22%
Orijino Komedi, Jay Dee waitwa Iringa
JK apigilia msumari wa mwisho Dowans Interpol yatumika kusaka wenye zeutamu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
MADIWANI wa Jiji la Dar es Salaam wamejichimbia mjini Morogoro kujinoa kuhusu utawala chini ya wakufunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma.
Akifungua mafunzo hayo juzi, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu aliwataka madiwani kuacha jazba wakati wa kujibu hoja za wananchi kuhusu utekelezaji wa ahadi walizotoa katika kipindi cha kampeni.
Mwambungu alisema, baadhi ya madiwani wasiowajibika ipasavyo kwa wananchi, wamekuwa na kauli zisizoridhisha wakati wananchi wanapowahoji juu ya utekelezaji wa ahadi walizotoa katika kampeni.
Kazi za uongozi tulizoomba zinaambatana na haki ya kuulizwa, kuhojiwa, kutakiwa kutoa ufafanuzi kwa wananchi wetu tunaowaongoza ikiwa ni pamoja na mamlaka zilizo juu yetu kuhusu kazi tunazozifanya kila siku na tija inayotokana na kazi hiyo, alifafanua.
Mwambungu amewataka madiwani hao kuwajibika kikamilifu katika kutekeleza na kusimamia miradi ya halmashauri yenye lengo la kuwasaidia wananchi na kuacha kulumbana na watendaji wa halmashauri hali ambayo imekuwa ikirudisha nyuma maendeleo ya wananchi.
Awali Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dk. Didas Masaburi alisema lengo la mafunzo hayo ni kuwapatia madiwani hao elimu ya utawala ili wafanye kazi za kuisimamia halmashauri kwa ufanisi.
Lengo hapa ni kuondoa umbumbu na kufanya kazi vizuri katika halmashauri zetu, ili ziwe na maendeleo, maana tunaambiwa kuwa madiwani hatujasoma, alisema.
Alisema, madiwani hao watapatiwa mafunzo ya usimamizi wa fedha za umma, ununuzi pamoja na maadili ili washirikiane na watendaji wa halmashauri bila ya kukwaruzana.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: Text"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: Text"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: kaziBody, align: right"] [/TD]
[TD="class: kaziBody"] [/TD]
[TD="class: kaziBody, align: left"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]