CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,464
Endapo Posho za Wabunge zitafutwa Wabunge wa CCM huenda wasigombee tena Ubunge 2015 kwa sababu kwao ubunge utakuwa haulipi kabisa na nibora kulima vitunguu kuliko kwenda Dodoma bila posho, Alisikika Mbunge mmoja wa ccm akisema.