ni kweli hata mimi nimeona na ka Spika ana akili timamu inabidi awakubalie badala ya kuleta siasa ka alivomfanyia Zitto! Wakati umefika,hakuna jinsi na inabidi akubali vinginevo hataeleweka kwa wenye nchi.Wabunge wa chama cha NCCR mageuzi wamesema wameandika barua kumtaka spika azielekeze posho zao kwenye mfuko wa maendeleo Kigoma. Wamesema watampatia spika barua hiyo kesho. Source: Taarifa ya Habari Channel Ten, Saa moja jioni, 12/06/2011.
lakini kudos ni kwa cdm ambaye nimuanzilishi kama vip kudos zitto..Kudos NCCR,siyo CCM,CDM,CUF,UDP....wengi wezi tu.
Nccr wanapenda sana kufuata mkumbo. Walikuwa wapi kuanza? Walisubiri mpka zito aanze ndo wafuatie?
CDM bado wanakula posho,mpaka za halmashauri Arusha wasikomtambua meya,na katibu mkuu wao anaishi kwa posho....don't even go there!lakini kudos ni kwa cdm ambaye nimuanzilishi kama vip kudos zitto..
kwa mujibu wa kanuni hizo hapo kuna tatizo kubwa ambalo linatakiwa zirekebishwe haraka maana zinatoa loop holes nyingi sana kwa wabunge kutohudhuria vikao. vikao vitatu ni vingi sana,hakuna dharura ya namna hiyo hata ktk idara zingine za serikali unless kuwepo na justifications kwa cases very special like illness etc na sio kukacha bila sababu,kwa nini wabunge wapewe upendeleo as if wao ni tofauti na wafanyakazi wengine? na kwa kukosa kuhudhuria vikao hivyo vitatu mfululizo,uwakilishi wa wale waliomchagua upoje? pia,kanuni zinaelekeza adhabu gani kwa atakae acha kuhudhuria vikao hivyo?Kinachoweza kuwakwamisha wabunge wasiende Dodoma ni kukosa posho ya kujikimu (hii haijapingwa). Wakishalipwa hii, wana haja gani kulipwa nyingine ya vikao, wakati ndiyo kazi waliyokwenda kufanya? Maoni yangu, hakuna haja ya kuilipa, bali uwekwe utaratibu wa kuwabana wasipohudhuria vikao. Kwa sasa kanuni inawabana wasipohudhuria mikutano mitatu mfululizo. Hivyo mbunge anaweza asihudhurie bunge zina la bajeti, pia akakacha la novemba asifanywe kitu. Hapa kuna tatizo.
Nasuburi kuona kama Mbunge menye pua kubwa kuliko wote bungeni naye ataandamana.Kuna mkakati wa Wabunge wa CCM kuandaa mandamano hadi kwa Mkuu wao raisi Jk kupinga kitendo cha wabunge wa CHADEMA na NCCR kutaka posho zifutwe. Inadaiwa kitendo cha posho kufutwa kitawaasili sana katika mikakati yao kurudi bungeni mwakani. Kwani wamekuwa wakitumia sehemu ya posho hizo kuandaa Kanga, Vitenge, Pilau, Mashindano ya kombe la mbunge na mengineyo.
Maandalizi yote kwa ajili ya Maandamano hayo inadaiwa yamekamilika na ratiba inaweza kutangazwa mda wowote kuanzia sasa.
Haaa! Kumbe uchaguzi Mkuu utafanyika mwakani? Au ni mimi tu sijakuelewa Mkuu? Any acha waandamane wengine hawajawahi fanya zoezi la kutembea hata nusu kilometa. Polisi wasitoe ulinzi ili tuwatimulie vumbi mitaani. Wezi wakubwa badala ya kuandamana kudai maisha bora kwa wananchi wanalilia wizi kupitia posho. Kila siku nimekuwa nikiamini kuwa Mwana CCM ni lazima akili zifyatukeKuna mkakati wa Wabunge wa CCM kuandaa mandamano hadi kwa Mkuu wao raisi Jk kupinga kitendo cha wabunge wa CHADEMA na NCCR kutaka posho zifutwe. Inadaiwa kitendo cha posho kufutwa kitawaasili sana katika mikakati yao kurudi bungeni mwakani. Kwani wamekuwa wakitumia sehemu ya posho hizo kuandaa Kanga, Vitenge, Pilau, Mashindano ya kombe la mbunge na mengineyo.
Maandalizi yote kwa ajili ya Maandamano hayo inadaiwa yamekamilika na ratiba inaweza kutangazwa mda wowote kuanzia sasa.