Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,986
- 5,708
Lukuvi kanishangaza jambo moja, eti Zitto amepora hoja ambayo walikwisha iandaa, mbona wavaa magamba wenzake wanakataa posho kuondolewa. ila kama itakua hivyo mi nafurahia jambo jingine.Viongozi wa wilaya watakuwa wanapatikana ofisini mana cku hizi kila cku ni vikao kumbe posho!!! Kweli ufidadi tz umekinai
ukimsikiliza lukuvi vizuri ni kuwa yeye nae anakiri posho hazifai na hazitaki ...