Ndo tatizo letu hili kukubali kila tunaloaambiwa na Serikali, Lukuvi anasema mkakati wa serikali ni kupunguza matumizi mabaya ya serikali ikiwemo posho hizo, hivi hili linchi lina mikakati mingapi toka tupate uhuru? Hapa mi naona CDM waendeleze hii hoja mpaka kieleweke wakiamua kukaa kimya tu inakufulia mbali.Kwani vitu vingapi vya serikali vipo vitabuni? Hata mkukuta upo vitabuni pia na upasikini unasonga mbele!
Sasa Zitto anataka wakatwe posho kumbe wameshachukua mkopo! Hii ni nini sasa? Lukuvi kasema Mshahara wa mbunge unatumika kwenye kukopa magari ambazo ni milion 45 na serikali inamchangia Mbunge milion 45 jumla milion 90. Mikopo mingine ya milion 100,milion 200 inatokana na posho za vikao! Kweli wana siasa wa ni Bongo usanii mtupu!
Nyie dandieni magari kwa mbele tu, shauri yenu. CHADEMA leteni issue zingine baada ya hili, ikibidi uwepo muswada wa kudhibiti safari za Rais nje ya nchi. Mbona anasafiri safiri sana, karibu kila mwezi, au ndo yale alosema Tundu Lissu na Mwanahalisi wakati wa kukemea kampeni za maji taka
' every human being is a political animal'' that's why umefika hapa!
Kijana wa nape huyo. Wewe uwe una akili za kufikilia. sasa unategemea Lukuvi amsifie au ampe umaharufu zitto! No way. Lazima ataonyesha kwa uongo kuwa hawa jamaa hawafai. Wewe mtu mwenye akili(kama unazo) ndo wakati wa kuzitumia na kuangalia who is right. Jambo dogo tu la kufikilia kama ni kweli zito amekopa kwa nini aeleze umma kwamba hazitaki ili hali anajua anamkopo na hizo sitting allowance ndo zinalipa deni? think about it. Na jambo jingine ni kuwa CCM wameshaona no way wanaweza kudefend hii ishu ya posho, wananchi wengi wako nyuma ya CHADEMA, what the wanna do now ni kuakikisha wanawaaminisha wananchi kwamba hii ni agenda yao, na kuonesha upande wa pili yaani CHADEMA wamedandia. Na kwa sababu watanzania wengi si watu wa kufikili mambo kwa undani, wanaweza kukubaliana na ccmSasa Zitto anataka wakatwe posho kumbe wameshachukua mkopo! Hii ni nini sasa? Lukuvi kasema Mshahara wa mbunge unatumika kwenye kukopa magari ambazo ni milion 45 na serikali inamchangia Mbunge milion 45 jumla milion 90. Mikopo mingine ya milion 100,milion 200 inatokana na posho za vikao! Kweli wana siasa wa ni Bongo usanii mtupu!
Gitaa la muziki huu naona sasa limeshaanza kuchanganya. Kaka William Malecela umemsikia mheshimiwa February?
hapo kwenye red ni nini?Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 1500, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya
.uwe unasikiliza mpaka mwisho ndo unachangia sio unaongea as if unahara kama mgonjwa wa kipindupindu...kwani mtu akichukua mkopo means ya kuulipa ni posho tu?mbona una mawazo ya kishamba sana wewe!!! ndo maana mawazo yako yamefanana na mwalimu wa UPE lukuvi
Kweli Ndg yangu Chupaku hawa waheshimiwe wanatakiwa kujua kuwa wapo pale kwa ajili ya kuwatumikia wananchi kwa kujitolea, sio kutafuta utajili!!!!!! Maana kweli kwa sasa ubunge umegeuka kuwa ni mtaji wa utajili, ukipiga hesabu kuanzia anapo ingia bungeni hadi atoke, huyu mtu atakuwa bilionea, hebu watu hawa wawahurumie wananchi waliowachagua!!!!!!!Umaarufu ndiyo siasa, haujui?
Kwa sasa wananchi wa kipato cha chini ambao ndiyo wengi wanataka matumizi na anasa zipunguzwe mojawapo ikiwa ni hii. We unamlipa mtu laki na nusu kwa siku wakati waajiriwa wengi hawapati mshahara huo kwa mwezi, achilia mbali wale ambao ni wengiii hawana ajira. Hizi posho zitoke tu na zitawafanya wengi waganga njaa kujifikiria mara mbili kabla ya kuchukua fomu za kugombea ubunge.
Mtaji wa kisiasa huo.
Ahahah!hapo kwenye red ni nini?
Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya