Posho na Mishahara ya wabunge...

Posho na Mishahara ya wabunge...

magamba wanaleta hoja za kipumbavu hapa.
kwanza wanaongeza tatizo juu ya tatizo kama mtu alishakopa kwa kutumia mshahara haruhusiwi kukopa tena.
mfano una mkopo benk ukaweka dhamana mshahara wako na ukirudi na kuchukua mkopo kwa mara yapili kwa utaratibu usioeleweka kama kutumia posho hilo ni kosa na litakuwa ni kosa la mkopeshaji na si la mkopaji.
kwa hiyo lukuvi hapo anatuambia kwamba serikali imefanya makosa mawili.
kwanza kwa sheria za pesa mahali popote duniani posho haiwezi kuwa dhamana ya mkopo.kwa sababu posho inakuwa halali pale tu mhusika anapohudhuria kikao husika.
wote wanaomsifu lukuvi akili zao sijui kama zina akili.
mtu anakiri kuiba ila utetezi wake ni kwamba hata mtoto wa mwenye mali nilimkopesha katika hizo.akili ya kushikiwa .

bila ccm imara nchi yetu itayumba-nyerere.
yametimia.asiyekubali ni tunda la ufisadi.
 
Mpaka kikao hiki kiishe mengi yataibuliwa kwani watu makini japo wachache wapo kikazi zaidi.Viva CDM
 
Haki ya nani, huu mwaka tutaona mengi.
Mie nashauri na posho ya mafuta ya shilingi 2500/- (shilingi elfu mbili na mia tano) kwa lita moja wanayopewa wabunge ipunguzwe pia, mafuta bei yake haijafika huko.
 
HTML:
live TBC,
CDM wanang'ang'ania posho zipunguzwe kumbe mpaka Mhe.Mbowe na Mhe.Zito wamezikopa teyari , Mhe.Lukuvi kamuaibisha Mbowe live.
Mhe. kaamisha mada kawa mpole kama kamwagiwa maji.
hivyo hata ikisemekana wakatae posho watakataa nini na zote wamechukulia mikopo

Mkuu BCR, ni suala la kutumia akili kidogo kujua nani muongo, hivi Posho unaweza kuikopa? na mkopaji asipohudhuria vikao utapataje rejesho?
 
magamba wanaleta hoja za kipumbavu hapa.
kwanza wanaongeza tatizo juu ya tatizo kama mtu alishakopa kwa kutumia mshahara haruhusiwi kukopa tena.
mfano una mkopo benk ukaweka dhamana mshahara wako na ukirudi na kuchukua mkopo kwa mara yapili kwa utaratibu usioeleweka kama kutumia posho hilo ni kosa na litakuwa ni kosa la mkopeshaji na si la mkopaji.
kwa hiyo lukuvi hapo anatuambia kwamba serikali imefanya makosa mawili.
kwanza kwa sheria za pesa mahali popote duniani posho haiwezi kuwa dhamana ya mkopo.kwa sababu posho inakuwa halali pale tu mhusika anapohudhuria kikao husika.
wote wanaomsifu lukuvi akili zao sijui kama zina akili.
mtu anakiri kuiba ila utetezi wake ni kwamba hata mtoto wa mwenye mali nilimkopesha katika hizo.akili ya kushikiwa .

bila ccm imara nchi yetu itayumba-nyerere.
yametimia.asiyekubali ni tunda la ufisadi.

Hawa jamaa wapumbavu sana yaani wanakopeshana kihuni kodi zetu.Sehemu gani duniani mtu akakopeshwa kwa kipato cha msimu kama posho au per diem.Tusishangae pia kama wanakopesha kwa allowamces kama travelling,Maternity,paternity..... This country has no leaders but predators of our resources
 
ccm...ccm ccm umeshika pataamuuuu*2
ongoza ufisadi,imba mapinduzi ccm umeshikwa pataamuuu*2
 
Du huu sasa ni usanii at its best juzi tu tumesmsikia Mkulo akisema wanaopinga posho wanatafuta umaarufu tena akaongezea kwamba kikao kijacho atakuja na karatasi ili wasiotaka posho hiyo wasaini. Sasa kama ulikuwa ni mpango wa serikali hizi porojo za Mkulo zilikuwa zinatoka wapi? Na kwa nini Mama Makinda akatishia hata kumfukuza Zitto wakati asichokitaka Zitto eti ni mpango wa serikali?
 
CCM ni wa ajabu sana, kwanza walianza kupinga kwa nguvu zote, mkolo akasema atawaandalia fomu wasiotaka posho, then akasema itabidi apeleke hoja baraza la mawaziri awashawishi maana wao ndiyo wanaoweka kanuni. Wameona hoja hii inachukua kasi na inaelekea kuungwa mkono na watu wote wakiwemo wanaccm wa wenye hali duni, sasa wameanza kujikosha kuwa ni mpango wa serikali.

kweli CCM ni janga kwa taifa.
 
Mbowe, Zitto wamekwisha kopa posho zao kwa hiyo hawana cha kuchukua wanatudanganya. Mbowe hajapinga baada ya lukuvi kudhibitisha kuwa walikopa
wadau naomba tuache ushabiki kama lukuvi anasema wamekopeshwa posho ni uongo na upotoshaji mkubwa..logically posho haiwezi kukopeshwa bali mshahara ndo unakopeshwa.Hoja ya Zitto inataka watoe posho za vikao bungeni ambazo mpaka leo wanachukua,inakuaje lukuvi aseme wamekopeshwa posho?hata hiyo mikopo huwainakatwa kwenye mshahara na sio posho tuache unafiki
 
jf...ni vyema lazima wamu-acknowledge author.....big up kwa idea
 
HTML:
Du huu sasa ni usanii at its best juzi tu tumesmsikia Mkulo akisema wanaopinga posho wanatafuta umaarufu tena akaongezea kwamba kikao kijacho atakuja na karatasi ili wasiotaka posho hiyo wasaini. Sasa kama ulikuwa ni mpango wa serikali hizi porojo za Mkulo zilikuwa zinatoka wapi? Na kwa nini Mama Makinda akatishia hata kumfukuza Zitto wakati asichokitaka Zitto eti ni mpango wa serikali?

Kwa uvivu wa kusoma, inawezekana hata huo mpango wa maendeleo hakuusoma, au umechomekwa baada ya kuona mziki wa Zitto ni mkubwa, yote yanawezekana kwa viongozi wa serikali hii.
 
Posho za vikao vya bodi za wakurugenzi kwenye taasisi na mashirika ya UMMA ni balaa. Sio chini laki tano kwa kikao kimoja hata kama watakutana kwa nusu saa. Mbaya zaidi bodi hiz hazina manufaa wala tija yoyote kwenye taasisi hizi
 
Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya

wewe ndiyo kilaza kweli kweli kama alivyo lukuvi... hakuna bank inayoweza kukukopa kwa kutumia malipo ya posho kama security ... kwanza posho haina guarantee na yaweza kuwepo au kutokuwepo .... hiyo bank inayotoa mikopo kwa scheme hiyo labda ipo Abbottabad
 
Posho za vikao vya bodi za wakurugenzi kwenye taasisi na mashirika ya UMMA ni balaa. Sio chini laki tano kwa kikao kimoja hata kama watakutana kwa nusu saa. Mbaya zaidi bodi hiz hazina manufaa wala tija yoyote kwenye taasisi hizi

Yaani morning meeting/ pre-start ya kazi uliyoiomba eti unalipwa posho, wakati unaajiriwa uliambiwa kabisa kazi hii inainvolve kusafiri sasa eti ukisafiri on top ya gharama za usafiri, chakula, malazi na posho juu. Ndiyo maana hatuendelei!!!
 
Tatizo la ccm ni vilaza, huwa wanakurupuka kwanza, halafu wakiona mambo yanawarudi wanakana kauli zao wenyewe.
 
Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya
Majibu ya Mbowe kwa swali kama lako:-
Gabriel Zacharia: Zipo taarifa za uhakika kuwa Mheshimiwa Mbowe na wenzako wa Chadema mmeshakopa pesa hizi
Mbowe: Si kweli, kwanza mkopo ni haki ya mkopaji na ni makubaliano kati ya mkopajio na mkoeshaji. Posho za bunge ni sitting allowance na hutolewa unapokuwa kwenye kikao. Sasa kama sitakuja Dodoma sitapata hiyo posho sasa watanikopeshaje osho wakati sijahudhuria kikao? Kama ni kukopa unakopa kwenye mshahara wako na sio kwenye posho na kama mtu kakopeshwa kupitia posho basi tatizo lipo kwa mkopeshaji
Labda kama una agenda nyingine, maana hamuishi kubuni upupu hapa!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya
Akili yako inauwezo wa kukaa mbele ya keyboard na kutype si zaidi ya hapo. Mie nakushauri ujitoe tuu hapa JF kwa vile jukwaa hili sio size yako kuchangia. Unafaa kusoma yaliyomo humu ili uelimike kidogo. Huoni kuwa alichosema Lukuvi kimewaharibia zaidi kuliko kujenga? mtumishi kukopa sio jambo la ajabu, ila kusema kuwa dhamana ya mkopo wake ni hizo sitting allowance hapo inatia shaka zaidi kwa huyo mkopeshaji. FIKIRI KWA MAKINI.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
ccm ni kama wamechanganyikiwa. Hata kama ni kweli kuwa wabunge wamekopa kwa nini walazimishwe kulipa kwa hela ya posho? Kwani hawawezi kulipa kutokana na mishahara na mapato yao mengine??? Na je watumishi wa ngazi za juu serikalini nao wamekopa kwa dhamana ya posho?!
 
Back
Top Bottom