Posho na Mishahara ya wabunge...

Posho na Mishahara ya wabunge...

Gitaa la muziki huu naona sasa limeshaanza kuchanganya. Kaka William Malecela umemsikia mheshimiwa February?
 
Gitaa la muziki huu naona sasa limeshaanza kuchanganya. Kaka William Malecela umemsikia mheshimiwa February?

Unajua mpaka inakuwa kama maigizo, same people na serikali yao kwa muda wa zaidi ya wiki wanalibishia hili na kusema wanaotaka posho zifutwe wanatafuta umaarufu halafu ghafla eti wanasema wamefuta posho kwenye vikao vya chama chao. Tena ili kutuingiza kingi wanasema hili lilianza kujadiliwa zaidi ya mwezi uliopita ili tu isionekane wamekopi na kupaste kutoka kwa Zitto. For the last one month tumeona mpaka akina Nape wakihutubia watoto, kifupi kila walichokuwa wakifanya kilikuwa reported sasa hilil lilisahaulika vp?
 
Kweli CCM tunatisha kwa ku paste! Suala ya Katiba mpya walianzisha wapinza tukalichukua juu kwa juu likatushinda! Naona na hili la posho tunataka kulidaka! Ee mungu tusaidie tusiumbuke!
 
Unajua mpaka inakuwa kama maigizo, same people na serikali yao kwa muda wa zaidi ya wiki wanalibishia hili na kusema wanaotaka posho zifutwe wanatafuta umaarufu halafu ghafla eti wanasema wamefuta posho kwenye vikao vya chama chao. Tena ili kutuingiza kingi wanasema hili lilianza kujadiliwa zaidi ya mwezi uliopita ili tu isionekane wamekopi na kupaste kutoka kwa Zitto. For the last one month tumeona mpaka akina Nape wakihutubia watoto, kifupi kila walichokuwa wakifanya kilikuwa reported sasa hilil lilisahaulika vp?
Hata mimi nashangaa, wao walipinga hoja ya posho kupunguzwa.
 
What's wrong with people like Mkullo, Ndulu, Kikwete and Makinda? Kuna tatizo Tanzania na wananchi tujue kwamba sisi tuna power until we found out ourselves, these people will continue to use us forever.

I promise my country that 'I am not going to be a statistic and brutalized ever"
 
Bravo, twachonga njia wao watfuata tu lazima. Ushauri wangu ni wa bure, yaani tukisema nguvu ya umma ni pamoja na kuona umma unasema nini. Uzoefu wangu hasa nje ya Dar, watu kukutana mpaka walipwe wakati wapo kazini... Duh Zitto tupo nyuma yako. Kataa tuone wabunge njaa wasiotaka kuona ukweli!!!
BRAVO CDM
 
pumba,,,vu zao tunataka wawa-acknowledge authors wa idea ya kufuta posho za kiwizi wizi
 
We will fight these fake magamba wabunge wa ccm mpaka hizi posho na hongo ya kikwete ifutike kitaifa. Posho na mishahara ya juu kwa wabunge ni hongo ya kunyamazisha bunge lisifanye kazi yake.

Just frankly asking, where is Sitta and Mwakyembe? Si walikuwa wanajali Utanzania zaidi "kumbe ni wanafiki watupu' yes I said so....
 
Ni lazima watafanya kwani ule ni wizi wa wazi wazi. Hata kama wakiendelea kupinga kuondolewa kwa posho hizo, Nguvu ya wananchi itawaangukia 2015
 
Zitto twende kaka..... akina mbowe na wenzake wataendela kuona aibu kwa kukunyima uongozi wa upinzani bungeni. mbowe hana analolifanya
 
Sasa ndo wamekwisha maana wale waliokuwa wakishangilia 'waambieeeeee' sijui watamudu maskini hapo balaa
 
Posho na mishahara ya wabunge ni mikubwa ukilinganisha na pato la wananchi waliowengi,hivyo sitashangaa kama CCM itafuta posho za vikao vyao.
Maadam wananchi wamengamua hilo, wabunge nao wasalimishe posho zao walizojirundikia utafikiri wanawakirisha mataifa makubwa.
Kwanza idadi ya wabunge ni kubwa,pili mikutano ya bunge ni kiduchi,tatu michango yao kwa walio wengi ni kupongeza badala ya kujadili.nne pato la taifa ni dogo serikali inaishi kwa kuomba omba na ufadhili,tano wameshajitenga na wananchi ni wakoloni weusi.
Sioni tofauti ya jambazi anayepora benki kwa mtutu wa bunduki na mbunge anayepewa marupurupu makubwa kwa kazi ya rubber stamp.
 
Lukuvi anasema Mh. Zitto amelichukua ili swala la posho kama lake binafsi , wakati serikali imekwisha litolea ufafanuzi kwenye vitabu vyake ambako ndiko Zitto aliko lichukua
 
Back
Top Bottom