Butola ndugu yangu, kinachopiganiwa sio posho ya wabunge pekee,hapo ni pakuanzia tuu. Posho za vikao zitolewazo kwa watumishi wa serikali na mashirika ya umma kwa mwaka ukipata idadi yake utashtuka. Huijui CCM na watu wake wasivyo na haya? Wabunge wa CHADEMA wakisusa wao bila aibu watakuambia ok na mfumo utabaki hivyohivyo. Hauta gusa sekta nyingine na hizo fedha za posho ya Wachadema haziwezi kuleta mabadiliko yeyote.
Nafikiri wewe ni mmoja wa watu ambao hudandia mada bila ya kuzisoma kisawasawa. Alichosema Mhe Zitto ktk bajeti ya kambi ya upinzani ni kuwa wabunge hulipwa posho za aina mbili kwa siku, ya kwanza inayitwa Sitting Allowance ya SHS 80,000/= kwa ajili ya kukaa katika vikao vya bunge; na ya pili ni posho ya kujikimu kwa lugha ya kigeni huitwa "Subsistence Allowance" ya Shs 70,000/= kwa ajili ya chakula, malazi n.k kwa kuwa viako vya bunge hufanyika nje ya vituo vyao vya kazi kwa maana ya maimbo yao ya uchaguzi. Ndipo akahoji uhalali wa mbunge kulipwa posho ya kukaa katika vaikao vya bunge ilihali kazi aliyoomba ni kuwawakilisha wananchi katika bunge na tayari analipwa mshahara kwa kazi hiyo hiyo.
Hivyo bajeti ya upinzani inapendekeza posho ya kujikumu iendelee na posho ya kukaa katika vikao vya bunge iondolewe. Vivyo hivyo kwa kwa watumishi wa serikalini hususan wakubwa wakikaa katika vikao mwisho hupitishwa bahasha zenye posho ilihali waliomba wenyewe kazi za kutumia akili katika vikao ndio maana hawafanyi kazi za shuruba kama vile kilimo, vibarua n.k. Kiutendo cha watumishi wa serikali tena wa kada ya juu tu, kulipwa posho ya kutimiza wajibu wao ambao tayari wanalipwa mishahara kuutimiza ni ufujaji mkubwa wa fedha za walipa kodi. Ndio maana vikao serikalini haviishi. Kinachotokea wanapanga vikao kufanyika katika mikoa nje ya vituo vya kazi na kupata posho mbili kama wabunge yaani posho ya vikao na posho ya kujikimu.
Je hiyo ndio siasa kwako?
We must walk the talk. I have written to the Clerk of Bunge that all sitting allowances I am entittled to should be directed to a charity in my constituency up to when the law is changed and sitting allowances scrapped.
I will advise my fellow CHADEMA MPs to take similar measure.
mpuuzi mkubwa huyu Ndugai
anatumia makalio kuanalyse
Hapa wapinzani wanataka mfumo urekebishwe ili kujaribu kuleta usawa na si kugomea posho.
Wapinzani wanazungumzia MFUMO kugomea posho/mishahara hakutasaidia chochote.
Kama wanamagamba including Ndugai wameona hoja ya Mh. Zitto kwamba kupokea posho mbili i.e.subsistance allowance na sitting allowance at the same time ni wizi na ufujaji wa pesa zetu (walipa kodi). Kwanini wasifute hiyo posho moja ya sitting allowance kuliko kuja na hizi lame excuse kwamba wabunge wa CDM waandike barua ya kuzikataa?
Kwani wakizikataa wabunge CDM ndiyo zitalekezwa kwenye miradi ya maendeleao?!. Si zitabaki hapo kwenye ofisi ya bunge because ni budget ya bunge. CDM wanapinga huu MFUMO wa kinyonyaji sio tu kwa wabunge hata viongozi wengine wakuu wa serikali.
Yaani mimi nikisoma hizo hoja za wana-Magamba ninatamani kupasuka kwa hasira. Watanzania wengekuwa kama mimi sidhani kama mbunge hata mmoja wa CCM angerudi bungeni mwaka 2015.
Watu wakijiunga na CCM sijui akili zao zinakuwa je? nachelea kumfananisha Ndugai na MBUNI, na anajua tabia za mbuni maana, Ndugai amesoma wildlife management pale UD miaka hiyo ya matusi ya nguoni ya Mzee Rukhusa
kusususia sio suluhisho kwa sasa, wao wametoa pendekezo badala ya kuwapongeza japo kwa pendekezo zuri nyie mnawalaumu
We must walk the talk. I have written to the Clerk of Bunge that all sitting allowances I am entittled to should be directed to a charity in my constituency up to when the law is changed and sitting allowances scrapped.
I will advise my fellow CHADEMA MPs to take similar measure.
serikali yetu yaajabu kweli mishahara mikubwa na posho kubwa huku wenyeviti wa vitongoji hawalipwi mshahara hata shilingi wakati kimsingi ndiyo wenye jukumu kubwa na madiwa nao wana lamba mshahara wa 120,000, halafu tuna sema tutatokomeza rushwa kweli...!?Wabunge wa CHADEMA sio kuwa wao hawazitaki hizo posho, hapo ndio watu mnaposhindwa kuwaelewa. Hakuna asiye taka pesa. Ila wao wanapigania mfumo mpya utakao ondoa hizo sitting allowance ili fedha hizo ziweze kufanya majukumu mengine ya manufaa.
Ukiliangalia hili kwa pupa utaona ni jambo la mzaha,ila kama Bunge litajiondolea posho za aina hiyo ina maana hakuna idara au wizara ambayo fedha za aina hiyo zitapitishwa na Bunge tena. Tutaokoa ngapi kama taifa? NYINGI. Kususia sio ufumbuzi wa tatizo
Ndugu yangu Zitto, kwanza nakupongeza kwa uamuzi wako wa mfano bora kwa kiongozi. Ila usiishie/msiishie hapo tu maana CCM hawana mshipa wa aibu hata kidogo. Mlipigie kelele ili sitting allowance za wabunge zifutwe ili huku kwenye Idara za serikali na mashirika muweze kutoa amri tuu ya kuzifuta. Likitimia hilo mtakuwa mashujaa wa ukweli. Big up comredWe must walk the talk. I have written to the Clerk of Bunge that all sitting allowances I am entittled to should be directed to a charity in my constituency up to when the law is changed and sitting allowances scrapped.
I will advise my fellow CHADEMA MPs to take similar measure.
Mkuu Butola wewe ni mpiganaji ambaye nilikuwa nakuamini sana imekuwaje tena unakuwa mtu wa kuunga mkono posho mbilimbili za hawa waheshimiwa, hata kama watakataa lakini wananchi wengi wakiwa against nao lazima wajue wanachokifanya sio kizuri, na kama mfumo haubadilishwi siungi mkono chadema kuziacha hizo posho kwa nini waziache wakati mfumo haueleweki bado,
yoote hayo hamyaoni nyie mnataka chadema tu waache posho kwa nini msitake wabunge wote waache hizo posho na ziingie kwenye matumizi mazuri ya maendeleo ya nchi hii.
Sasa kama wameshapewa per diem zao ni busara kwa wapiga kelele kwenye majukwaa wakaandika barua ya kusudio la kuondolewa hizo posho bila ya hivyo itakuwa ni unafiki tu.
ANAKULA 40,000/= KWA SIKU DU??HUYU MUISLAM NI SOO,HII SI NI BEI YA MBUZI MKUBWA BEBERU NA KRET MBILI ZA KILIMANJARO,NA MAJI KATON MOJA KWELI JAMAA YUKO JUU
ANAMPA DEREVA WAKE 30,000/= PER DAY MAANA YAKE JAMAA ANATENGENEZA
30,000 X 30=900,000/=
SASA BUNGE HILI N LA MIEZI MITATU
900,000 X 3=2,700,000/=
MSHAHARA WA DEREVA SH 900,000/= KWA MWEZI HAIWEZEKANI
SI KWELI HUYU MPEMBA ANADANGANYA UMMA
mnafki tuu hana lolote
Cheap and populist poitics.[IMG said:https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/misc/quote_icon.png[/IMG] Originally Posted by Zitto
We must walk the talk. I have written to the Clerk of Bunge that all sitting allowances I am entittled to should be directed to a charity in my constituency up to when the law is changed and sitting allowances scrapped.
I will advise my fellow CHADEMA MPs to take similar measure.