Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Naona leo mpaka wajawazito mmefurahi asee. Hongereni
 
Hao ndio wataitoa Dola?

Unashikwa kama kuku?

Yaan bado sana mkuu maneno ya ujasirii ila vitendo vya kidada

Unakosea sana unapotaka watu walete fujo na ghasia.

Kama polisi kazi walizosomea ndio hizo, hongera zao sana.

Enzi ya leo kumkamata mtu hadharani na kujisifia?

Too low....

Mnamjenga na kumpa umaarufu mtu ambaye hana impact yoyote.

Toka enzi za Mrema, hatujawahi kujifunza? Mimi nilimpigia kura Mkapa, maana nilijua ngoma ya kitoto haikeshi
 
Asipo-act kama kiongozi wa kitaifa anakuwa mpumbavu tu. Lissu ni mpumbavu wacha akaadabishwe na wahuni huko selo. Amani ya NCHI/DAMU ZA WATANZANIA ni muhimu na zitalindwa kwa hali yeyote.
Lissu anachokifanya ni kwa ajili ya watoto na wajukuu wetu so...he has that platform and he should do it effectively.
Nyie mnaoona anafanya ujinga go ahead,walikuwepo watu kama nyie hata enzi za ukoloni(wao waliona hakuna shida na kupigania Uhuru ni usumbufu) just like you fools.
Sasa mnaneemeka na jasho na damu zilizomwagwa kipindi cha ukoloni....huku mnatuimbia nyimbo za kulinda amani.
 
yeye mwenyewe ameshindwa kujheshimisha
Viongozi wengi wa CCM huwa ni very brutal linapokuja suala la kumhandle mpinzani.
Rais wetu Mh. Samia Nina Imani hahusiani na hili suala japo watendaji wake wanaweza kuwa wanahusika (ANAHUSIKA)
 
Yaan we ni pimbi kweli hivi Watanzania wenzako wanavyonyanyasika na utawala mbovu ndani ya nchi yao ww unapata faida gani hasa?
 
Uchaguzi huru haupiganiwi hivyo.Hapo ni kupigania ajira za watu.Agenda ya uchaguzi huru ingepigiwa kelele toka Magufuli alipoharibu uchaguzi,lakini ikawa kimya,badae uchaguzi serikali za mitaa mambo yale yale ikawa kimya.Wangekua wanajali hii agenda isingeibuka sasa karibu na uchaguzi.Inaibuka sasa hivi kwasababu ya ulaji umekaribia.Uchaguzi ukipita wanasiasa wanakua kimya swala la uchaguzi wataibuka tena uchaguzi ukifika.

Kwa sisi wenye Imani tunauhakika na kitu kimoja. Mkifanya kama 2020 yatatokea kama ya 2020! Sasa nyie ndiyo muamue mnataka nini Yaliyomtokea Magufuli yatamtokea Samia kama hamtabadilika huu ni ujumbe mkiamua kupuuza tutaona. Tulisema wakati ule na tunasema tena. Lema alisema na sisi tulisema mkapuuza sasa save huu ujumbe utaona tena! mpaka mtaelewa. Kuna spirit mbaya sana viongozi wametengeneza ambayo haitawaacha wwaiba kura. Mchekeni Kikweke kama Magufuli na atabaki peke yake
 
Acha kutisha watu kima wewe!
 
Lissu anachokifanya ni kwa ajili ya watoto na wajukuu wetu so...he has that platform and he should do it effectively.
Nyie mnaoona anafanya ujinga go ahead,walikuwepo watu kama nyie hata enzi za ukoloni(wao waliona hakuna shida na kupigania Uhuru ni usumbufu) just like you fools.
Sasa mnaneemeka na jasho na damu zilizomwagwa kipindi cha ukoloni....huku mnatuimbia nyimbo za kulinda amani.
Usifananishe harakati tukufu za kupigania uhuru na usawa na harakati zenu uchwara, mkihatarisha amani mtashughulikiwa kisheria...
 
Hao ndio wataitoa Dola?

Unashikwa kama kuku?

Yaan bado sana mkuu maneno ya ujasirii ila vitendo vya kidada
Akili jinga Kama wewe na upuuzi wako. Ulitaka wafanye vurugu mumuuwe Kama mlivyofanya dodoma? Mbona dodoma amkumchukua Kama kuku mkaingia na miguvu Kama ngiri?. Na marisasi ya kuua wanyama. Una akili fupi sana.
 
Back
Top Bottom