Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Leo cheka na ufurahi kabisa maana ni wakati wako.
Uliyeko serikalini IPO siku utajikuta upinzani so usifurahie madhira ya CHADEMA ni kwakuwa mifumo yetu ni ya hovyo.
 
Hakuna kuku atavunja sheria za Nchi halafu aachwe hivi hivi eti kwa sababa ya mbweha wanaobweka mitandaoni... Amani ya Nchi ni bora mara mia kuliko nguchiro 100 wanaochochea vurugu..
Nenda kwa kibibi chako kinakushughulikie na mashine yake ya kukoboa huko.
 
Yaani msumbiji ilianzia hivyo hivyo. Usiwe na wasi ndugu siku inakuja na utakuja hapa kulaani.
Jaribuni tuwafute kama MKIRU

Hii nchi amani italindwa kwa gharama zote wapumbavu na magaidi aina yako amtodumu
 
Kwa Hilo nakataa. Ana upumbavu gani.
Huyo ni kiongozi wa kitaifa at least show some respect
Taifa gan?

Lissu ni kiongozi kama alivyo Steve Nyerere

NYie chadema ndio mshow respect kwa maana yeye na maneno yake ya kisenge senge ( Lissu alitamka haya)

Nani ampe heshima?
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Po gezi!!!!😭
 
Taifa gan?

Lissu ni kiongozi kama alivyo Steve Nyerere

NYie chadema ndio mshow respect kwa maana yeye na maneno yake ya kisenge senge ( Lissu alitamka haya)

Nani ampe heshima?
Mh. Lissu ni kiongozi kitaifa.
That is what I know. Ni kwa kuwa tuko kwenye nchi ambayo inafuga wajinga wengi kama wewe kwamba mpaka Leo hujui kwamba lissu ni kiongozi.
 
Kwa Hilo nakataa. Ana upumbavu gani.
Huyo ni kiongozi wa kitaifa at least show some respect
Asipo-act kama kiongozi wa kitaifa anakuwa mpumbavu tu. Lissu ni mpumbavu wacha akaadabishwe na wahuni huko selo. Amani ya NCHI/DAMU ZA WATANZANIA ni muhimu na zitalindwa kwa hali yeyote.
 
Usimalize maneno mkuu
Zuieni kwa nguvu zenu sasa!!
,Penye dhuluma wakishindwa wanaojipigania kumbuka Mungu mumbaji wa mbingu na ardhi yupo, anao uwezo wa kuwapigania. Maneno yako usiongee kwa kiburi kama kwamba wao wakishindwa ndio nafasi. Muogope Mungu walao. Otherwise hakuna marefu yasiyo mwisho
 
Mh. Lissu ni kiongozi kitaifa.
That is what I know. Ni kwa kuwa tuko kwenye nchi ambayo inafuga wajinga wengi kama wewe kwamba mpaka Leo hujui kwamba lissu ni kiongozi.
yeye mwenyewe ameshindwa kujheshimisha
 
Back
Top Bottom