Polisi wadai Dr Slaa alikuwa na bunduki

Swala co kukutwa na silaha,swali ni kwamba hiyo silaha anaimiliki kihalali au vp?ili tujue kama kuna mashtaka hapo.
 
Hii habari ni sumu humu JF sasa hivi Mods wataitoa waichanganye na thread zingine...

Dr Slaa risasi 17 unakwenda vitani?
 
Hakuna kosa lolote as long anamiliki kihalali na hajamzuru nazo mtu kwa makusudi. Lakini hiyo habari yako imekaa kinafiki zaidi ndugu.
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa leo amekamatwa na polisi na baada ya kumpekua wamemkuta akiwa na Bastola 2 na risasi 17 eneo la NMC majira ya saa 11 alfajiri akiwa kwenye mkesha wa kushinikiza Lema aachiwe huru kutoka rumande.
Source Taarifa ya Habari ya Channel 10 saa moja Usiku leo

Bastola sio issue kama anayo au anamiliki kiahalali...nadhani utafute kitu kingine cha kusema sio hili.
 
Hakuna kosa lolote kisheria kumiliki silaha hizo ili mradi tu ni halali, na pia kuna kitu kinaitwa (Previous criminal Records) ya mtu Dr slaa hana hiyo record sasa sijui mnataka kusemaje Magamba kwamba slaa ni Rage au?!!!
 
kuna neno siwezi kuliandika humu...but hiyo silaha imetumika kumtisha mtu?je ilitolewa hadharani? ama kuna risasi iliyofyatuliwa? maana kama kuna ganda litaonyesha namba ya silaha iliyotumika. shwain
MI NAULIZA JE MTU ANAPOPEWA SILAHA KISHERIA ANAPASWA AIWEKE NYUMBANI KM 1 YA MAPAMBO YA NYUMBA AU ATEMBEE NAYO POPOTE AENDAPO KWA NIA YA KUJILINDA?nielewesheni
 
Hakuna kosa lolote hapo alikuwa anajilinda ya polisi wakijani hawakawii kumpiga risasi na kusema alikahidi amri
 
Hivi inakuaje POLISI inaushinda umma kwenye mambo kama haya.
 
...nadhani hii itakuwa ni 'habari' kwa vyombo vyetu. Ya muhimu yatasahaulika na kubaki na mjadala wa bastola.
 
Muambiwe kwani picha ilionesha risasi? Kwanza asingefotolewa wala msingeisikia! Dr Slaa aombe radhi kama Rage yaishe! Nchi ya amani hii.
Mbona hatukuambiwa Rage alikuwa na risasi ngapi?
 
Is that a news ! Polisi wetu wamatia kichefuchefu, Slaa kukutwa na silaha ni kosa au naye alionyesha hadharani kutishia watu kama Ragem?
 
Kwani nchi hii watu hawaruhusiwi kumiliki silaha?

Ninachofahamu kumiliki sio tatizo, tatizo ni kumiliki pasipo kibali na sidhani kama anamiliki bila kibali
 
Kwani wakina slaa na tundu wameachiwa kwa dhamana ama wako ndani hadi muda huu?
 
Hii habari ni sumu humu JF sasa hivi Mods wataitoa waichanganye na thread zingine...

Dr Slaa risasi 17 unakwenda vitani?

Acha kuwa na mawazo finyu km ya Lusinde,hv kumiliki bastola ni kosa?we kwel kilaza
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa leo amekamatwa na polisi na baada ya kumpekua wamemkuta akiwa na Bastola 2 na risasi 17 eneo la NMC majira ya saa 11 alfajiri akiwa kwenye mkesha wa kushinikiza Lema aachiwe huru kutoka rumande.
Source Taarifa ya Habari ya Channel 10 saa moja Usiku leo
Maswala ya kumiliki silaha tena kutupiana risasi kwa wanasiasa yamesemwa yametokea sana kwenye Uchaguzi igunga na mpaka sasa hatua za msingi hazionekani zikilingana na ukali wa taarifa zilizokuwa zikitolewa ktk kipindi kile cha uchaguzi wa igunga, mengi yatasemwa ili kutisha watu ila kimsingi na kiuhalali kila mwenye silaha anapaswa kuwa na silaha yake popote alipo hata mimi binafsi nilikua njugu 17 kiononi(halali) ila sikudhubutu wala sikufikiria kuigusa silaha yangu kwa sababu sikuwa na matumizi nayo kwa wakati ule pale NMC kwenye mkesha.
 
Back
Top Bottom