Polisi wadai Dr Slaa alikuwa na bunduki

well,polisi wanatuhabarisha kwamba 'wamemkuta' Dr na “Walther Pistol T2-CAR-61074-327963”.but wait a minute!hawa ni polisi wepi?ni wale ambao wakisikia dr slaa anakuja Arusha wanajiandaa na silaha za moto,maji ya kuwasha,mabomu and the like?ni wale wanaodai kuwa Slaa na wenzake 'walidharau' amri halali ya polisi?kwamba sasa kwa kuwa wanayafanya haya yote habari hii inatoka from credible source?one sentence.this is crap from crap!
 
Slaa ni mtumishi wa mungu bastola mbili za nini?

Nakumbuka hata kwenye biblia kuna sehemu inasema mmoja wa wanafunzi wa Yesu alimkata sikio mmoja wa wale askari waliokwenda kumkamata Yesu. Naye Yesu akamwambia kuwa arudishe upanga wake. Kama Mungu kakupa uwezo, akili na busara za kujilinda kwa nini husitumie hizo busara. Kumbuka kuwa Dr. Slaa si Saint, ni binadamu kama sisi, tofauti ni kuwa yuko tayari kwa lolote katika kutetea haki za wanyonge.
 
Back
Top Bottom