feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,950
- 18,475
Viongozi wao wengi watakimbia nchi au kufungwa jela.Hivi polisi ni CCM ? Hivi tukishika sisi madaraka hao polisi tunawafanya je?
NB:Bila kua na kadi ya CCM huko jeshini hupati cheo
Viongozi wao wengi watakimbia nchi au kufungwa jela.Hivi polisi ni CCM ? Hivi tukishika sisi madaraka hao polisi tunawafanya je?
Yeah viongozi wa dini wangeungana na kusema sasa waumini wetu msile haramu ya serikali gomeni Moto ungewak ila ndo hivyo utaona kesho wamealikwa ikulu kunywa chaiShida viongozi wa dini nao wameamua kupick sides. Hatari sana. Hii nchi uchawa uchawa tu but wana nafasi pekee katika kutatua hili suala
Alhamdulillah hiyo kazi mzee wangu alishakataa na kwenye ukoo wetu hatuna polisi wala CCM.Pia kama una ndugu polisi hebu ongea naye. Hakuna sababu ya kutekeleza udhalimu. Umeaminiwa kulinda usalama wa raia, how comes uwe tishio kwa raia instead?
Walivyoomuua ndio hatua za kinidhamu na kisheria?. Unataka hii nchi ibaki na snitches and bitchez na punkass niggas? Tutaendelea vipi tukibaki wote tuko kama kina mwinjaku?....Are guys thinking straight. Viongozi wa tanzania ni watu wajinga na wabinafsi sijawah kutokea anajua siku nikija kutokea noma wako yatakuwa wamekufa, wanawatengenezea watatu was mazingira magumu sana...Dunia bado inakumbuka vitu walivyofanya kina Musolin na generation are paying the price...Hii nchi haiji kubadilika mpaka watu waingie road...Mwacheni mdude avune alichopanda!
Mwanakulitafuta mwanakulipata!
Mimi nilikuwa nashangaa sana kwa kashfa na matusi anayoyatoa kwa viongozi wa nchi kwanini hachukuliwi hatua za kinidhamu na kisheria!
Ndo ujue uchawi tafsiri yake ni roho mbaya ya kubomoa, mchawi ni Samia na vibaraka wake.Hivi wachawi wanakazi Gani?????
Kwanini wasotumie mbinu za kichawi kuwamaliza hao watekaji????
Yaani usikemee maovu kisa utaacha wanao wakiwa yatima hii ni akili ya kusikitisha ,kifo kinafika muda wowote ,kwa namna yoyote na kwa umri wowote.Ukizeeka shukuru Mungu ni majaaliwaKuna mtu kwenye video hataki hata kamera imuelekee, sema nini ndugu zangu kama una familia na iko nchini nenda mbele na urudi nyuma utaacha mayatima wasio na hatia
Auwawe na nani kirahisi tu hivyo,huyu ni raia tu ambae yuko na msimamo wake mwenyewe.Huenda Mdude tayari atakuwa ameuawa!
Sio camera tu hata siraha ndogo kama panga kali na mitego flani flani pia ikiwezekana nyumba ziwe na handaki la ku-escape ikitokea wamevunja mlango kama hivi unahakkisha umekata koromeo zao hata watatu kisha unazama mafichoniKwenu wakosoaji,fungeni na security cameras majumbani mwenu ili ikitokea umefuatwa nyumbani kama hivi pawe na pakuanzia.
Sasa hivi kila usiku upoingia usalama wa raia unazidi kuwa hatarini kibaya zaidi victims ndio wanaogeuziwa kibao nakupewa kesi ya wahatarisha na kuvunja Amani ya Nchi wanataka kuleta machafuko.Haya. Wenye taarifa za aliko mwenzenu pelekeni taarifa hizo Polisi ili mwenzenu apatikane haraka!
Inasikitisha sanaaSasa hivi kila usiku upoingia usalama wa raia unazidi kuwa hatarini kibaya zaidi victims ndio wanaogeuziwa kibao nakupewa kesi ya wahatarisha na kuvunja Amani ya Nchi wanataka kuleta machafuko.
Serikali imekaa kimya haisemi kitu kuhusu raia wake, Mahakama inasema hakuna ushahidi na Bunge limezibwa mdomo nakupigwa marufuku kujadili raia wanaotekwa wanaopotezwa na hata kuuwawa
Polisi Mbeya ni wanafiki aisee