Mwaka juzi nilimkataa polisi kumpangisha wale madalali walijichanganya baada ya kuhoji kazi yake..hawa polisi huwa sina urafiki nao kabisaaHaya mambo ya kusema baadhi ni kama kutaka kuwaisolate watu fulani fulani ,sijui kwa manufaa na nani? .
Polisi wote wa nchi hawana jema kama una mtu wa karibu kaa nae mbali mzee otherwise kuna siku litakukuta Manjagu sio kabisa yaani.
Kama polisi wanakanusha hadharani tukio la kupigwa na kukamatwa waandishi wa habari na raia walioenda kusikiliza kesi hadharani tena kamera zikiwepo unadhani tuna jeshi la namna gani.Jeshi la polisi limekuwa genge hatari
Amin kwamba mkuu hao sio watu ni masnitch namba 1 hapa nchini. Kiufupi kwa sasa majeshi yote yameharibika kukaa kitaalam tuMwaka juzi nilimkataa polisi kumpangisha wale madalali walijichanganya baada ya kuhoji kazi yake..hawa polisi huwa sina urafiki nao kabisaa
Hii nchi inastahili nishani ya nobeli kwa usanii
KWA UZOEFU TU POLISI WAKISEMA HIVYO TAYARI WAMESHAMUA MDUDE HAWEZI KUPATIKANA TENA. DAAA ILA POLIS BASI TU
Kwani Tanzania ina jeshi la polisi au ina kikundi cha magaidi dhidi ya raia wasio na hatia?
Nani atawahaji wakati washutumiwq ni haohao polisWaliotoa taarifa kuwa ni polisi ndo wamemchukua wahojiwe inawezekana wanawafahamu hao polisi
Kila nafsi itaonja mautiHi nchi ngumu sana utashangaa huyo Mdude akipatikana akiulizwa nani alikuteka atasema ni Siri siwezi kusema
Huenda Mdude tayari atakuwa ameuawa!
Tanzania yetuHapa mpaka waje FBI ama Scotland yard.
Aisee ni hatareee sanaa inauma Sana Sanaa
Any way duuuu !!!