Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

Kama polisi wanakanusha hadharani tukio la kupigwa na kukamatwa waandishi wa habari na raia walioenda kusikiliza kesi hadharani tena kamera zikiwepo unadhani tuna jeshi la namna gani.
Ndo hapo sasa ,,yaan wanakamata watu kila mtu akiwa anashuhudia na baadae wanakataa,na Muliro anakataa na haoni aibu unategemea Kuna sku watasema jambo la maana ? Na hata taarifa za kufanya doria nahis ni uongo ,
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kali...

Si Mbowe wala Lisu mwenye furaha kwa sasa
 
Kwa hii statement ya PoliCCM basi safari ya Kamanda Mdude imeishia hapo,bahati mbaya Mdude damu yake imemwagika katika ardhi iliyojaa masheta.

#Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua Mdude hajachukuliwa na Task force
Mwacheni mdude avune alichopanda!
Mwanakulitafuta mwanakulipata!
Mimi nilikuwa nashangaa sana kwa kashfa na matusi anayoyatoa kwa viongozi wa nchi kwanini hachukuliwi hatua za kinidhamu na kisheria!
 
Mwacheni mdude avune alichopanda!
Mwanakulitafuta mwanakulipata!
Mimi nilikuwa nashangaa sana kwa kashfa na matusi anayoyatoa kwa viongozi wa nchi kwanini hachukuliwi hatua za kinidhamu na kisheria!
Hebu tupe ushahidi hata wa screenshot wa hayo matusi. Pia tufanye kweli ametukana sasa mahakama zina kazi gani? Je matusi yanalingana na uhai wa mtu?
 
Back
Top Bottom