Mnapoenda kukamata watu mnatoa taarifa hata angalau kwa majirani
Mnapoenda kukamata watu mnatoa taarifa hata angalau kwa majirani
Gentleman,Kwaio gentleman umefurahia kukamatwa, kupigwa kikatili na kupotezwa kwa lazima kwa ndugu mdude ??

Kwenye aya ya kwanza tu nimekuelewa vyema Sana na nimekubaliana.Gentleman,
sifurahi wala kuunga mkono tukio lolote la kumdhuru na kumuumiza mawananchi na mTanaznia awaye yoyote.
nasisitiza ustaarabu katika kukosoana, heshima katika kuwasilisha maoni na mitazamo yetu toafauti dhidi ya wengine,
napinga mtu yeyote kumendea mke wa mwingine, napinga dharau, dhuluma ya fedha na mali za waliotuamini n.k
siungi mkono kusingizia chochote au yeyote kwa madhila binafsi yanayomkumba mtu binafsi yeyote kwa sababu zake binafsi.
wahalifu wote hukamatwa na vyombo vya kisheria mchana kweupe na bila kaudhibiwa na mwanausalama yeyote yule. Majambazi yasivishweshe sura ya polisi![]()
usichanganye mambo gentleman,Kwenye aya ya kwanza tu nimekuelewa vyema Sana na nimekubaliana.
Iyo aya ya mwisho sijakubaliana nayo sababu wale askari walio wakamata mahakamani huku wakirekodiwa asubuh kweupe na kuwapiga,kuwatesa,kutowapeleka vituoni na kuwavunja mikono na miguu kisha kwenda kuwatupa maporini?? Hili ni doa kubwa Sana kwa jeshi la polisi Tanzania na serikalini ya mama Samia.

Si inasemekana Shaban polisi wa makao makuu anaye!! Muulizeni alipomficha.
1:Umejuaje ni polisi?Baadhi ya polisi wachache wanalichafua mno jeshi la polisi
Huoni kwamba haupo sahihi kuita mtu MVUTA BANGE bila ku uthibitishia umma wa watanzania.usichanganye mambo gentleman,
majambazi walomvamia kitima na huyo kijana mvuta bangi huko mbeya wasivishwe sura ya polisi.
hakuna doa wala rangi yoyote kwa jeshi imara la polisi Tanzania, ambalo licha ya kusingiziwa yote mabaya, bado liko imara linafanya kazi zake kwa weledi mkubwa na kwa maslahi mapana ya Taifa.
mayowe binafsi hayawezi kuzuia jeshi hilo kufanya kazi ya kuhakikisha waTanzania wote pamoja na mali na makazi yao wako salama![]()
polisi kusingiziwa uovu ndio sahihi right gentleman? je unaweza kuthibitisha hao majambazi ni polisi?Huoni kwamba haupo sahihi kuita mtu MVUTA BANGE bila ku uthibitishia umma wa watanzania.
Sio kwamba ni maoni yako binafsi na wivu wa kike kumuita mtu MVUTA BANGE ama MLA UNGA Cc. ASKOFU GWAJIMA Kutuhumiwa kuuza MADAWA YA KULEVYA.
Mapenzi hisia na ushabiki wako kindaki ndaki kwa chama Dola na CCM yako kusikufanye upovu na ukilema wa akili na kua kajinga ka kiwangycha SGR.
KAMA UNA USHAHIDI KUA MDUDE NAVUTAGA NAE BANGI WEKA HADHALANI KWA FAIDA YA TAIFA NA UMMA WA WATANGANYIKA.

Umejaa propaganda na fix nyingi gentleman 😉polisi kusingiziwa uovu ndio sahihi right gentleman? je unaweza kuthibitisha hao majambazi ni polisi?
mimi huwa naeleza mambo ya ukweli ya msingi tu. Ushabiki wangu hua ni kwa makolo na utopolo pekee.
ikiwa unaoushahidi wa majambazi waliotokomea na huyo mropokaji, saidia polisi kubainisha ukweli, na ikiwa vyote hivyo hutaki basi hakuna haja ya mayowe wala kubabaika na yeyote![]()
Jambazi sio Jini CCM kutaka damu ya raia,polisi kusingiziwa uovu ndio sahihi right gentleman? je unaweza kuthibitisha hao majambazi ni polisi?
mimi huwa naeleza mambo ya ukweli ya msingi tu. Ushabiki wangu hua ni kwa makolo na utopolo pekee.
ikiwa unaoushahidi wa majambazi waliotokomea na huyo mropokaji, saidia polisi kubainisha ukweli, na ikiwa vyote hivyo hutaki basi hakuna haja ya mayowe wala kubabaika na yeyote![]()
tuliza ball nanihiiJambazi sio Jini CCM kutaka damu ya raia,

Tuombe BBC Africa Eye watusaidie kuchunguza hay mauaji kwa njia ya satelliteMzee Kibao kauawa, Soka kapotea, Farther Kitima kavamiwa, Mdude hajulikani alipo .... Halafu jeshi la police linaomba msaada kuyoka kwa raia. Hivi kweli hapa bado tuna jeshi. Hapa tuna jeshi kweli?
Zile intelijensia za kutambua uhalifu kabla ni kwa ajili ya Chadema tu...!!