Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

Kwa hii statement ya PoliCCM basi safari ya Kamanda Mdude imeishia hapo,bahati mbaya Mdude damu yake imemwagika katika ardhi iliyojaa masheta.

#Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua Mdude hajachukuliwa na Task force
Hivi polisi ni CCM ? Hivi tukishika sisi madaraka hao polisi tunawafanya je?
 
Yeye Magufuli alikuwa na unafuu gani sasa? Si ndo alianzisha haya. He is to blame 100%.
Ulikuwepo mwaka 2000 baada ya uchaguzi? Unakumbuka damu iliyomwagwa kule Zanzibar? Haya mambo ni way back yanafanyika.
 
Kwa matukio yaliyopita mabaya ya watu kujeruhiwa,kuuwawa na hili la Mdude kupotezwa na polisi sina hakika kama yu hai ilitosha kabisa watanzani nchi nzima kufanya maandamano kupinga uchafu huu ila ni bahati mbaya sana sisi wananchi TUMELOGWA tumejikita na umbeya kwa Mange pamoja na Simba na Yanga.
Watanzania wana akili timamu na wanaipenda nchi yao ndiyo maana mtu yeyote anaejitokeza na kuleta purukushani kamwe awawezi kumuunga mkono ata siku moja. Mwisho wa siku unabaki mwenyewe
 
NASHAURI VYAMA VYA SIASA KUSIMAMISHWA AU KUFUTWA KABISA KUENDESHA SIASA NCHINI KWA MIAKA ISIYOPUNGUA SITA KUPISHA UCHUNGUZI KWA YANAYOENDELEA NCHINI KULIKO KULALAMIKIA JESHI LA POLISI HAISAIDII KITU HAPO...
 
Usilinganishe Zanzibar na yanayoendel3a bara. Magufuli ndiye aliyeanzisha siasa chafu akitumia mamlaka kuumiza raia. Ugomvi wa Wazanzibari wakati wa uchaguzi ule usiwe kigezo cha kulinganisha na yanayoendelea bara tangu Magufuli aingie madarakani. Matumizi ya dola kuumiza raia ni suala jipya. By the way, hata hatuko kwenye uchaguzi tunauana, kwenye kampeni itakuwaje?
Ulikuwepo mwaka 2000 baada ya uchaguzi? Unakumbuka damu iliyomwagwa kule Zanzibar? Haya mambo ni way back yanafanyika.
 
Kwa matukio yaliyopita mabaya ya watu kujeruhiwa,kuuwawa na hili la Mdude kupotezwa na polisi sina hakika kama yu hai ilitosha kabisa watanzani nchi nzima kufanya maandamano kupinga uchafu huu ila ni bahati mbaya sana sisi wananchi TUMELOGWA tumejikita na umbeya kwa Mange pamoja na Simba na Yanga.

Hii nchi inakatisha tamaa sana😭
 
Waliotoa taarifa kuwa ni polisi ndo wamemchukua wahojiwe inawezekana wanawafahamu hao polisi
 
Waambie wapitie huu uzi hapa..
👇
 
Hapa ndugu wajiandae tu kutafuta mwili wa mdugu yao, maana nayo pia ni bahati. Ni ukweli mchungu, kama mamlaka inasema haijui alipo means hata hayupo kwenye matibabu. Kuvuja vile damu salama yake ni kuwa mikononi mwa wataalam wa afya na si mahali pengine popote. This is so sad!
Nipo so disappointed ☹️ mdude hatunae tena.
 
Back
Top Bottom