Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,622
- 28,559
Sijui polisi wanatuona raia kama ng'ombe au sijui madumbwi yasiyo na akili vile!
Sijui polisi wanatuona raia kama ng'ombe au sijui madumbwi yasiyo na akili vile!
Hata ccm hawana amaniLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kali...
Si Mbowe wala Lisu mwenye furaha kwa sasa
Polis ya Tanzania au..Haya. Wenye taarifa za aliko mwenzenu pelekeni taarifa hizo Polisi ili mwenzenu apatikane haraka!
Sasa hatuw za kinidhamu na kisheria ni kumteka na kumuua badala ya kumkamata na kumshitaki mahakamani?Mwacheni mdude avune alichopanda!
Mwanakulitafuta mwanakulipata!
Mimi nilikuwa nashangaa sana kwa kashfa na matusi anayoyatoa kwa viongozi wa nchi kwanini hachukuliwi hatua za kinidhamu na kisheria!
Hii vita sio ya kila mtu, kuna wapambanaji na wapambaniwa, kama mfumo wa siafu ulivyo...ni NATURE,Kuna mtu kwenye video hataki hata kamera imuelekee, sema nini ndugu zangu kama una familia na iko nchini nenda mbele na urudi nyuma utaacha mayatima wasio na hatia
Uko sitting room watoto wanagombania remote, mke anawapikia kitchen, umeshika smartphone unaandika harakati kuhusu watu kupoteza maisha, kuwa-serious mkuuYaani usikemee maovu kisa utaacha wanao wakiwa yatima hii ni akili ya kusikitisha ,kifo kinafika muda wowote ,kwa namna yoyote na kwa umri wowote.Ukizeeka shukuru Mungu ni majaaliwa
Hata ukipeleka Polisi ya Fiji sawa tuPolis ya Tanzania au..
Ni aibu sana hii.
Hapa mpaka waje FBI ama Scotland yard.
Aisee ni hatareee sanaa inauma Sana Sanaa
NINYI NDIYO MLIOMTEKA NA KUMUUA. MUUAJI MKUBWA NA RAIS WENU SAMIA. WAUAJI NI NINYI POLISI
Hata Mwangosi aliuwawa Kama hivi na sare zenu hizo hizo zioikuwa zimejaa site...C'scene.wangewauliza heche na walinzi wake katili waliotaka kudhulumu maisha ya sigrada mligo pale njombe🐒
huenda walinzi wa heche walikusudia kumpoteza sigrada kama kibao,Hata Mwangosi aliuwawa Kama hivi na sare zenu hizo hizo zioikuwa zimejaa site...C'scene.
Hii mizaha sio kabisa..ile scene ya mdude na ZILE damu zilizo kua zimetapakaa kutoka chumbani mpaka mbali nje barabarani.huenda walinzi wa heche walikusudia kumpoteza sigrada kama kibao,
kwa maelekezo ya heche huenda wanahusikia kwenye hilo pia 🐒
hayupo mtu wa kufanya revange kwa mzaha gentleman, huenda hajazaliwa,Hii mizaha sio kabisa..ile scene ya mdude na ZILE damu zilizo kua zimetapakaa kutoka chumbani mpaka mbali nje barabarani.
For sure hii kitu inanitoa MACHOZI na pia hizi dhihaka na mizaha huleta revenge trust me.
Gentleman nakuomba tufanye siasa tuache hizi za kuuana na kufanyiana mizaha naona sio sawa.
Waseme wamemtupa wapi?Nimeamua kuipuuza hiyo taarifa; watuambie wamemuweka wapi?
Vv
Kwaio gentleman umefurahia kukamatwa, kupigwa kikatili na kupotezwa kwa lazima kwa ndugu mdude ??hayupo mtu wa kufanya revange kwa mzaha gentleman, huenda hajazaliwa,
damu ya Sigrada Mligo wakati anachezea kipigo cha mbwa koko ilikua ni damu ya kunguni na kwavile director wa scene ile aliku heche rafiki yako, na kwahiyo kile kichapo kilikua haki yake right?
Kila siku nasema humu jukwaani,
tuishi na watu vizuri ndani ya jamii nzima tunayoishi nayo. Mambo binafsi ya kumendea wake za watu kwa siri, uchonganishi, dhuluma ya mali na fedha za watu kwasababu tu wewe ni kimbelembele mitandaoni n.k madhara yake ni makubwa kwako binafsi,
utasimgizia polisi na serikali but haitakusaidia kwasababu utaumizwa na kupoteza maisha kilofa sana.
kama kuna machozi,
basi mlie kwa wote hata wanao pata ajali kuliko unafiki kama huo gentleman wa kuchagua matukio na waathirika.
hiyo ni nonsense katika kujenga umoja wa kitaifa 🐒