Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

Itakuwa alidhulumu au alitembea na mke wa mtu
 
Mwacheni mdude avune alichopanda!
Mwanakulitafuta mwanakulipata!
Mimi nilikuwa nashangaa sana kwa kashfa na matusi anayoyatoa kwa viongozi wa nchi kwanini hachukuliwi hatua za kinidhamu na kisheria!
Kwahiyo kumuua ndio hatua za kinidhamu na kisheria mmemchukulia?
 
Ndugu zangu watanzania nunueni bunduki ..............yaani wakija wakafa kama 20 hivi patakaa sawa.........hata wakija watakuja kwa tahadhari kubwa
 
Hapa ndugu wajiandae tu kutafuta mwili wa mdugu yao, maana nayo pia ni bahati. Ni ukweli mchungu, kama mamlaka inasema haijui alipo means hata hayupo kwenye matibabu. Kuvuja vile damu salama yake ni kuwa mikononi mwa wataalam wa afya na si mahali pengine popote. This is so sad!
 
Haya mambo ya kusema baadhi ni kama kutaka kuwaisolate watu fulani fulani ,sijui kwa manufaa na nani? .

Polisi wote wa nchi hawana jema kama una mtu wa karibu kaa nae mbali mzee otherwise kuna siku litakukuta Manjagu sio kabisa yaani.
Pia kama una ndugu polisi hebu ongea naye. Hakuna sababu ya kutekeleza udhalimu. Umeaminiwa kulinda usalama wa raia, how comes uwe tishio kwa raia instead?
 
Hivi inakuaje polisi unatumwa kwenda kumuua mtanzania mwenzako Kwa masilahi ya watawala na unakubali?.Nimepata hasira kiasi kwamba ningepata hata bomu ningelipeleka polisi ili na wao wauawe wote kituoni.
 
Nahisi ile "NO REFORM NO ELECTION" ikatokea kweli kwa haya yanayoendelea, viongozi wa Dini kama watasimama na wanachi litafanikiwa kwa 100%
Shida viongozi wa dini nao wameamua kupick sides. Hatari sana. Hii nchi uchawa uchawa tu but wana nafasi pekee katika kutatua hili suala
 
Back
Top Bottom