DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Asilimia kubwa ya watu waliopo mitandaoni ni mazombi wanaendeshwa akili kwa remote kama marobota. Hawafikilii hawajuliulizi imani zao wameweka kwa mange kimambi n.k kwani huyo mange kimambi hanunuliki ilikutoa habari za uongo. HUU NI MCHONGO SHITUKENI
Haijalisha Mange ni mtu wa aina gani, taarifa ni taarifa. Hata kama ni Mange anatupeleka maboya bado taarifa yake inaweza kutumika kama ~true (not true) value, katika mchakato wa kutengeneza truth table yetu.
 
Mafwele tunamchekea sana yaan jamaa anapewa hype sana kutesa na kuua na anajulikana why bado anaishi?
Screenshot_2025-10-06-23-00-43-48_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Haijalisha Mange ni mtu wa aina gani, taarifa ni taarifa. Hata kama ni Mange anatupeleka maboya bado inaweza kutukia kama ~true (not true) value, katika mchakato wa kutengeneza truth table yetu.
Je pole pole anaweza kushikwa hivyo kama inavyosemekana?
 
Asilimia kubwa ya watu waliopo mitandaoni ni mazombi wanaendeshwa akili kwa remote kama marobota. Hawafikilii hawajuliulizi imani zao wameweka kwa mange kimambi n.k kwani huyo mange kimambi hanunuliki ilikutoa habari za uongo. HUU NI MCHONGO SHITUKENI
Wasengesenge km nyinyi hua nawaingiza ignore list mazafaka ingia humo
 
Asilimia kubwa ya watu waliopo mitandaoni ni mazombi wanaendeshwa akili kwa remote kama marobota. Hawafikilii hawajuliulizi imani zao wameweka kwa mange kimambi n.k kwani huyo mange kimambi hanunuliki ilikutoa habari za uongo. HUU NI MCHONGO SHITUKENI
Safi sana
 
Ukisikia bendera fata upepo ndiyo hii. Watu wazima na akilizao na usomi wao ila akili na fikra zao za kushikiwa na Mange kimambi ni kama makondoo. Wengine kabisa unakuta wanakomaa kana kwamba walikuwepo kwenyetukio. Wote wanaosema polepole katekwa waulize wanauhakika utasikia sisi tumesikia taarifa kwa Mange kimambi. Kweli Mange kimambi ndiyo wakuamini kiasi hicho. Kwa hiyo Mange kimambi anaakili nyingi kuliko polepole kwasababu yeye hajatekwa ila polepole katekwa?
Mimi sikuwepo eneo la tukio, chochote kinawezekana.
 
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.

Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii

Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Aisee hii andika andika hawa jamaa wametuzoea inatakiwa kesho wanatuona milangoni mwao kama kutuuwa watuue ila sijui nini haiana maana wameamua uhuni tuishi nao kihuni watatuzoea hawa watu nawambia nikuamka pale nao kuwa tunamataka polepole over hizi andika andika zifike mwisho tukipata tarifa na ipo confirmed nikuagiza watu walinde mazingira na kuambiana jamani twendeni over
 
In the realm of codes and commands,
Executables obey their maker’s hands.
But when corruption hides in lines unseen,
Kinatawala awakens — silent, clean.

He scans the system, purges deceit,
Restores the truth where lies compete.
For every file that broke the law,
Justice runs… with no “undo” at all.
 
vyombo vyetu hasa jwtz na tiss mpo kimya kama mateka sio bure mnatukosea sana.
Kwenye hivi vyombo, wote hasa wenye vyeo wamepewa kwa kujuana, kwahiyo usitegemee
Nitashangaa ukiamini kuna kapteni wa jeshi anaitwa Tesha.....
 
Back
Top Bottom