Asilimia kubwa ya watu waliopo mitandaoni ni mazombi wanaendeshwa akili kwa remote kama marobota. Hawafikilii hawajuliulizi imani zao wameweka kwa mange kimambi n.k kwani huyo mange kimambi hanunuliki ilikutoa habari za uongo. HUU NI MCHONGO SHITUKENIBora wewe
Tusaindieni mkuu
Hakuna mtu wala harakati zozote labda nyumba ya mtu, watakuwa wanamtafuta yeye Britanica.Safi sana ,huo ndio uaname bana, jitafuten mfike 100, Kwa kuanzia Hilo wengine wataunga foleni
Unamuamini mange ?Nyie ndio wale matomaso, sasa picha ushaziona kwa Mange kwa bri unataka akupe picha gani??
Mambo mengine muwe mnakausha kuficha ujinga uliopo kichwani mwako..
Kaa pembeni ewe muogaHakuna mtu wala harakati zozote labda nyumba ya mtu, watakuwa wanamtafuta yeye Britanica.
Ukiona wanakupa matango pori ujue unatafutwa wewe.
Kwa hio upo nae hapo sebleni kwako au umelala nae chumbani kwako?Pole pole HAJATEKWA
Wewe unamuamini nani sasa mpaka hapo?Unamuamini mange ?
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
We unaonaje?Unamuamini mange ?
kah!Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Nakuamini wewe. Je unauhakika ni kweli polepole katekwa?Wewe unamuamini nani sasa mpaka hapo?
Hilo gari lilikuwa na watu ndani na walionekana kuwa ni polepole na mafwele au kama kawa mwendo wa kufanywa wajinga tu na huyo mange wenu?!!!Hujapata ata ka picha maana mange kaleta na kaushaid wa gari walilo tumia je wewe una tuletea nini hapa tuamini usemalo?
Ndiyo, nenda.Kwa hiyo tukivamia mabwepande tunaweza kumtoa?
Nimeuliza tu.We unaonaje?
Kaka unawasikiliza chadema?!!! Watakuingiza chaka vibaya🤣🤣🤣Mtwara ili iweeje mkuu?