Koschei
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 451
- 751
Pole pole HAJATEKWA na wala hawezi kutekwa kindezi ndezi, yule jamaa ni next level. Believe me kunabom linasukwa, shitukeni msiwe na akili za kike za kuamini kila mchungaji ni mtumishi wa bwanaMungu amtunze huko aliko