DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda Mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.

Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii

Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Samia
Britanicca
Nani ni nani hapa? Wa kwanza kutoa taarifa?
1000028431.jpg
 
Kwa style waliyotumia kumkamata ya kuvamia makazi yake, sidhani kama wanaweza kumpeleka mahakamani kwasababu teyari na wao wamefanya uhalifu.

Na kama ni Polisi, inakuwaje RPC hajui Polepole yuko wapi?

Mpaka hapa wasijukikana wameshajulikana.
Samahani mkuu, 'Salary', lakini nimeshindwa kunyamaza.

Hivi kweli kuna kundi la watu wanaoitwa "Hawajulikani"?

Kwa nini raia, tena wenye akili nzuri tu, ndio wanaoendelea kueneza upuuzi wa aina hiyo!

Tukiendelea kuwaita "wasio julikana" inatusaidia nini ; kwa mfano!

I'm really sick and tired of such obvious hypocrisy in this country.
 
Aisee hii ni....hatari , Mbona DW na vyombo vingine vya habari awaliongelei hili tukio🤔
 
Kweli wamekosana wazalendo wenye silaha wakavamia hilo eneo na kumuokoa, usalama wataifa wazalendo, Jwtz wazalendo, baadhi ya wazalendo katika jeshi la polisi, hata wananchi wazalendo wanaomiliki silaha.

Kweli tunapoteza tunu hii ya mzalendo polepole na kuwapa ushindi wahuni?😢😢, moyo wangu umehisi kulaluliwa leo💔.
Kama ningekuwa kwenye chombo chochote cha ulinzi na usalama, hakika ngekuwa mtu wa kwanza kuchukua vijana wazalendo na kuingia kumuokoa uyu mtu. britanicca, tunaenda kumpoteza mzalendo na mwenye uchungu wa watanzania uku tukitazama. Sijui kama naweza kulala leo. Daaah 😢😢😢
 
Siamini hili eneo halina ulinzi wowote.
Labda yuko mbweni siyo hapa Mabwepande.
 
Hili hata mimi nimelifikiria, inaweza kuwa ni smoke screen.
Mkuu hapa bongo wanajua tunafata mkumbo, tunajazwa kiboya sana. Kaja Tesha kapiga kweli hazijapita saa 48 polepole kabebwa; wacha tusubiri kama Tesha atrudi tena; wakati huo huo mpango huo 'mgumu' haukuvuja halafu iwe rahisi kuvuja aliko???

Tusichokijua ni kuwa Dola ikishambuliwa huwa inaungana kwa haraka sana kuliko nyakati zote... na inawezekana wanajua siku nyingi yuko pale na walikuwa wakimlia tu 'timing' kwa kuwa inaonekana walikuwa na uhakika na hii operation... yaani itvis too scar
 
Back
Top Bottom