pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 517
- 2,050
JWTZ ingilieni kati jaman…kutusubiri sisi hadi 29 Oct ni mbali kwani wazalendo wengi wanapotezwa sasa.
shujaa, mzalendo na kijana mwenye maono na nia njema kwa watanzania ndugu POLEPOLE wanaenda mpeleka kaburini. Kweli nafsi zenu zitabaki na amani ikiwa mlikuwa na nafasi hii ya kuokoa roho yake. Mlishindwa kwa JPM, hata kwa Polepole inashindikana na watu waliye naye wanajulikana.
Najuta kwanini nilikataa ile OFA ya kuingia jeshini, na uhakika by now ngekuwa kwenye rank za juu na ningeweza fanya kitu.

.