DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi ni kwa nini inatumika nguvu kubwa kiasi cha kumuumiza Pole Pole? Alikuwa na silaha? Kaumizwa kwenye purukushani ya kumkamata au corporal punishment ndio order inayotumika hata kama tuhuma zake ni za kisiasa? 🤔
Wana usongo na wakosoaji wote wa Samia. Nimesikia pia wamewaumiza sana hawa vijana Ofsa Ngiri, Frida na Kiduku.

Wakimdaka yoyote anayetoa maoni hapa JF wasioyapenda nina uhakika wanampiga, kutesa sana kama hao wengine au kupotezwa kabisa. Wanajua kwa sasa wapo juu ya Sheria hakuna wa kuwagusa.
 
Mimi sipotoshi yeyote ila najaribu kukuamsha wewe uliyelala fanya kufatilia speech za Polepole zote sikiliza kwa makini jinsi alivyojizatiti kiulinzi mpaka mwenyewe anasema waziwazi kuwa yuko vizuri dont even try afu leo hii useme mtu huyo kushikwa kirahisi rahisi tu hakuna hata mtu aliyeuawa hapo kwenye tukio. hiyo ni Big NO, never. Polepole hawezi kutekwa kizembe namna hiyo. Huyo mdogo wake umemwona live au umesikia sauti tu
Kwahiyo unafikiri familia yake, BBC wanaweka habari bila kuwa na uhakika. Kaka yake Augustino Polepole ametoa taarifa kwenye video.

Tusiwaamini wao tukuamini wewe.Acha kupotosha umma.
 
Ukisikia bendera fata upepo ndiyo hii. Watu wazima na akilizao na usomi wao ila akili na fikra zao za kushikiwa na Mange kimambi ni kama makondoo. Wengine kabisa unakuta wanakomaa kana kwamba walikuwepo kwenyetukio. Wote wanaosema polepole katekwa waulize wanauhakika utasikia sisi tumesikia taarifa kwa Mange kimambi. Kweli Mange kimambi ndiyo wakuamini kiasi hicho. Kwa hiyo Mange kimambi anaakili nyingi kuliko polepole kwasababu yeye hajatekwa ila polepole katekwa?
Haya tumekusikia ewe mwerevu, sasa kunya, chamba, panda kitandani lala.
 
Kweli wamekosana wazalendo wenye silaha wakavamia hilo eneo na kumuokoa, usalama wataifa wazalendo, Jwtz wazalendo, baadhi ya wazalendo katika jeshi la polisi, hata wananchi wazalendo wanaomiliki silaha.

Kweli tunapoteza tunu hii ya mzalendo polepole na kuwapa ushindi wahuni?😢😢, moyo wangu umehisi kulaluliwa leo💔.
Kama ningekuwa kwenye chombo chochote cha ulinzi na usalama, hakika ngekuwa mtu wa kwanza kuchukua vijana wazalendo na kuingia kumuokoa uyu mtu. britanicca, tunaenda kumpoteza mzalendo na mwenye uchungu wa watanzania uku tukitazama. Sijui kama naweza kulala leo. Daaah 😢😢😢
Mwenyewe nimejiskia vibaya sana moyo wangu una deni kubwa sana maana wahuni ndo wanaweza wanafanya chochote bila JWTZ kusema stop au Wananchi kuamka na kusema imetosha basi
 
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.

Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii

Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Aisee
Wameblow your cover
Kamata Rucksack sasa hivi weka Jeans tatu, tshirt mbili nan shati moja, anza sasa hivi ohoooooo
Nakuambia elekea boda unayoijua, tafadhali sana...
Arif...anza sasa hivi....

1759784447250.png
 
Kwahiyo unafikiri familia yake, BBC wanaweka habari bila kuwa na uhakika. Kaka yake Augustino Polepole ametoa taarifa kwenye video.

Tusiwaamini wao tukuamini wewe.Acha kupotosha umma.
Kama yule jamaa ni kaka yake kweli kwahiyo unasema kwamba polepole ni kweli yuko na chip mwilini mwake. Polepole huyu ambae aligoma kuchoma chanjo ya korona leo hii akubali kuwekewa chip mwilini mwake kwa lipi?
 
Kwanini nisimwamini. Polepole ana dada, Mama, kaka zake, ndugu, marafiki wengine wengi tu. Polepole ni high profile, mtu maarufu sana hapa Tanzania.

Kama siyo ukweli ndugu zake wangekanusha hizo taarifa. Au angekuwa hajatekwa yeye mwenyewe angekanusha.
Acha kutoa taarifa za uongo.
 
Mange anatupelekaje maboya anatoa na ushahidi wao mbona hawatoi ushahidi

Fullstop kwishaaa
Ukisoma mololongo nilivyomjibu yule jamaa, ungeelewa kuwa sisemi anatupeleka maboya. Nilichosema ni kuwa hata kama anafanya hivyo bado ni taarifa ambayo itasaidia kuupata ukweli.
 
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.

Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii

Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni
Britanicca
Ni katika kukumbushana tuu Post in thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
P
 
Kwa style waliyotumia kumkamata ya kuvamia makazi yake, sidhani kama wanaweza kumpeleka mahakamani kwasababu teyari na wao wamefanya uhalifu.

Na kama ni Polisi, inakuwaje RPC hajui Polepole yuko wapi?

Mpaka hapa wasijukikana wameshajulikana.
Hawana namna nilazima wampeleke
 
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.

Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii

Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Mmh
 
Back
Top Bottom