DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nchi imejaa ma key board warriors tu hii. Ukisoma JF unawaona wako kama Fidel Castro au Che Guevara. Ila kwa ground ni wangese tu kama uncle T au James Delicious.
😂😂😂😂😂
 
alafu vyombo vyetu hasa jwtz na tiss mpo kimya kama mateka sio bure mnatukosea sana.
Hivi vyombo zile top brass zao wote ni jumuiya za ccm. Ila hakuna kukata tamaa cku 1 tutapata ukombozi.
 
Kama yule jamaa ni kaka yake kweli kwahiyo unasema kwamba polepole ni kweli yuko na chip mwilini mwake. Polepole huyu ambae aligoma kuchoma chanjo ya korona leo hii akubali kuwekewa chip mwilini mwake kwa lipi?
Hawawezi kukuelewa coz, tunatofautiana level of Elimu
 
Ukitazama movies kama Johnny Mad Dog, Bloody Diamond na nyinginezo aina hiyo unagundua sisi waTz ni watu wapole, waoga, wenye nidhamu na unyenyekevu sana, yaani ni watu tulioradhi kuonewa au hata kujitolea mmoja wetu aonewe ilimradi tu tupate ule utulivu tunaoutafsiri kuwa ni amani.
 
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.

Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii

Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. 😫
 
polepole anasurubiwa na watanzania wenzake kwa kutoa kashifa za muirani...

sad...
 
Wewe briticana kama ni mtu wa system basi tuna watu waoga wasio wazalendo na nchi yao hakiyamama pengine Mungu anasababu za kutudmfanya sie wengine tusiwepo kwenye hivyo vyombo maana kwa yanayoendelea sasa hivi nchi hii ingekuwa inazungumza kitu kingine na kabisa.

alafu vyombo vyetu hasa jwtz na tiss mpo kimya kama mateka sio bure mnatukosea sana.

Mtu mwenye haki anapodhulumiwa nafsi yake ni laana kwa nchi nyie watu hawa watu wanatuletea laana katika nchi hii ambayo tutakuja kuilipa heavily.

Refer ya Patrice Patrice lumumba hadi wa leo wacongo wanatumikia karma ile.
Uko sahihi sana
 
polepole anasurubiwa na watanzania wenzake kwa kutoa kashifa za muirani...

sad...
Hawa watu wa hili Rostam, Samia, Mombo, Abdul, Kikwete wana roho mbaya sana wao wanajali pesa, upigaji, ufisadi, madaraka.

Wapo tayari kuteka, kutesa, kuua Mtazania wote atayewaambia watched kufanya huo uhuni.
 
Mpaka sasa ni hola
Niaminini mimi, ASUBUHI YA KESHO, POLISI WATATOA TAARIFA RASMI KUWA WANAMSHIKILIA POLE POLE....kuendelea kwao kukataa ni risk zaidi...huku mambo si mambo huko JESHINI!.
 
U
Wewe briticana kama ni mtu wa system basi tuna watu waoga wasio wazalendo na nchi yao hakiyamama pengine Mungu anasababu za kutudmfanya sie wengine tusiwepo kwenye hivyo vyombo maana kwa yanayoendelea sasa hivi nchi hii ingekuwa inazungumza kitu kingine na kabisa.

alafu vyombo vyetu hasa jwtz na tiss mpo kimya kama mateka sio bure mnatukosea sana.

Mtu mwenye haki anapodhulumiwa nafsi yake ni laana kwa nchi nyie watu hawa watu wanatuletea laana katika nchi hii ambayo tutakuja kuilipa heavily.

Refer ya Patrice Patrice lumumba hadi wa leo wacongo wanatumikia karma ile.
Umezungumza kitu muhim sana i believe in karma huwa haisahau kamwe itakulipa tu nasi tusipokubali kutetea hizi damu zinazopigania haki tutakuja kulipa gharama kubwa mno bila discount
 
Kunakitu nawaza kaka yake alisema Hp ana gps tutarajie location kuwekwa wazi soon za sehem alizopitishwa n k
 
Back
Top Bottom