johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,127
Mahakama na CCM ni vitu viwili tofauti!Mwambie aache mikwara huyo, yule Nchambi ikawaje apewe dhamana kwa lile kosa lake?!
Kosa la Nchambi linaingia vipi kwenye hii mada. Una uhakika halina dhamana?Mwambie aache mikwara huyo, yule Nchambi ikawaje apewe dhamana kwa lile kosa lake?!
Kuna taarifa zote pamoja na ushahidi wa picha na video.Nauliza tu;
Na hawa taarifa zao anazo?
1.Mbunge wa Mbinga
2.Nkasi kaskazini
3.Sumbawanga mjini
4.Kishapu?
Usikariri bwashee!Polepole ni nani mbele ya wanaCCM asilia? Hatutishwi na WAKUJA. Rushwa tunatoa na majina yetu yatapita tu. Ole wenu muyakate, tutarudisha kadi na Kisha tutajiunga na kundi la kachero mbobezi, kamarada Bernad Kamilius Membe.
Wabunge wa zamani wa majimbo hayo wasipokatwa kwa rushwa nitaamini umetuletea maigizo.Kuna taarifa zote pamoja na ushahidi wa picha na video.
CCM ni chama kikubwa!
Kwa nje ila sio kwa ndani?!Mahakama na CCM ni vitu viwili tofauti!
Lile kosa walilomuondolea mwanzo halikuwa na dhamana, wakayaacha yenye dhamana, hiyo ndio CCM na mahakama zake ninayoifahamu mimi.Kosa la Nchambi linaingia vipi kwenye hii mada. Una uhakika halina dhamana?
Tuko vizuri mkuu. Mwenyekiti tumemuweka mfukoni Polepoleni hana nyimbo. Ndiyo maana tunajimwambafai tu.Usikariri bwashee!
Taarifa zote zipo.Kule kilimanjaro unazo taarifa za mama Shaly Raymond kuwa alishamaliza kutoa mlungula zamani anasubiri kupitishwa tu awe mbunge wa viti maalum? Jimbo la Moshi mjini unazo taarifa za ibra line, shahibu , diwani wa Kata ya Kilimanjaro, Kule babati unazo taarifa za mbunge aliyehamia ccm ,Kule kibamba ,Arusha mjini wakili anayegombea, Jimbo la iramba, Jimbo la nzega, Jimbo la simanjiro Kuna katibu wa uwt anagombea Jimbo naye mlungula anatoa kila kona.polepole shughulika na Hawa watu .
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.
Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!