Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,871
- 7,347
Achana na FALA hilo.We firauni hilo jina la mtoto wa shule ndio jina lako halisi? PM location yako nikutafute mbuzi wewe. Nitumie location nikutafute MAN TO MAN, uone kama utasimama mw3ndawazimu wewe. Hizo bunduki zenu zinawatia ukichaa sana.
We mpuuzi tu, matendo yenu ya kiharamia ya kuteka na kuchinja Watanzania kama mbuzi yamekupa ujasiri sana na kukufanya uone unaweza kufanya lolote kwa kila mtu, sivyo? Nitafute tuonane.Ngoja niachane na mjinga kama wewe, ila ujue JF ni kichaka kidogo sana. Kikichomwa moto utachomokamo tu! Ahahahahaha!!
Sawa. Utatafutwa. Ila wakati unatafutwa , ebu pitia komentis za Mdudu alivyokuwa anatamba kabla! Ahahahahaha! Nalala sasa. Kesho kazini.We mpuuzi tu, ujasiri wenu wa kuteka na kuchinja Watanzania kama mbuzi umekufanya uone unaweza kufanya lolote kwa kila mtu, sivyo? Nitafute tuonane.
Ni chaguo lako,upite kama ushuzi duniani au uache alama(hata kwa ukoo wako)Aisee hii ,kauli ni kubwa sana , kwamba Ndugai mpaka sasa malengo yanamsaidia nini ,
Wachache watamwelewa kwa hoja hii
Mkuu jamaa yupo very clear, kama wewe kwako gari ni utajiri mwenzako mguu kwake ndio utajiri, sasa katika haya mambo ma2 kila mtu ni tajiri kwaupande wakeView attachment 3437814 Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
Malengo ya nyumba, usafiri na kula ubwabwa..ndio malengo ya watanzania wanayolazimishwa na tiss kuwa hayo ndio wahangaikie..ukiyapata bc umemaliza! Huhitaji kingine tena..subiri kufa.
Sawa. Utatafutwa. Ila wakati unatafutwa , ebu pitia komentis za Mdudu alivyokuwa anatamba kabla! Ahahahahaha! Nalala sasa. Kesho kazini.
Duh.Polepole: Nilizaliwa nikiwa uchi nitarudi nikiwa uchi
Mlale unono
Ndio malengo muhimu, food...clothes and shelter.Malengo ya nyumba, usafiri na kula ubwabwa..ndio malengo ya watanzania wanayolazimishwa na tiss kuwa hayo ndio wahangaikie..ukiyapata bc umemaliza! Huhitaji kingine tena..subiri kufa.
https://www.facebook.com/View attachment 3437814 Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
https://www.facebook.com/Polepole ameng'amua kuwa kuna ombwe kubwa la uongozi katika nchi. Ametamani kuchukua nafasi ya wazee kama Butiku na Warioba...Tatizo hataweza kuziba ombwe. Atapiga mayowe atapotea maana hajaeleza amesimamia wapi.
Malengo yamefanya watu kutokua wazalendo katika taifa hili, that'sNi chaguo lako,upite kama ushuzi duniani au uache alama(hata kwa ukoo wako)
Unatakiwa kuwa na maslahi binafsi kwa uongozi wa sasa ili ujiwehushe kuto muelewa Polepole.""Ulevi wa uongozi ni jambo baya kweli,unapokuwa kiongozi sauti yako huwa na nguvu kweli kwa umma lakini madaraka yanapoondoka na sauti yako huwa imeondoka pia,kibaya akili yako ibakie mlemle kana kwamba wewe bado ni kiongozi,unageuka kichekesho kwa umma mzima,maana kinachotokea huwa hakuna anayekusikiliza tena kama vile awali ""
#crocodiletooth philosophic view!