Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

Sawa. Utatafutwa. Ila wakati unatafutwa , ebu pitia komentis za Mdudu alivyokuwa anatamba kabla! Ahahahahaha! Nalala sasa. Kesho kazini.
Protokali.jpg
 
Polepole ameng'amua kuwa kuna ombwe kubwa la uongozi katika nchi. Ametamani kuchukua nafasi ya wazee kama Butiku na Warioba...Tatizo hataweza kuziba ombwe. Atapiga mayowe atapotea maana hajaeleza amesimamia wapi.
 
Ni chaguo lako,upite kama ushuzi duniani au uache alama(hata kwa ukoo wako)
Malengo yamefanya watu kutokua wazalendo katika taifa hili, that's

Wamekua wezi, wauwaji,watekaji , wahujum nchi kisa ,malengo ya kidunia , alama inakusaidia nini kama unakufa watu wanaanza kuzomea.

Viongozi , waliokaribu na watesi wa wananchi kwa sasa wameisha jaa kwenye mfumo wa wananchi , wapatapo baya wananchi watashangilia ,ilianza kwa Mpoto, sasa Ndugai , so hii ndo alama usemayo sio , kama ndo hii bora pita kama ushuzi
 
Ushauri ni kwamba usalama wa taifa ni weak.

Huyo mama ni well coached kutumia nafasi yake kujizatiti.

Unahitaji watu wakubwa sana kupindua meza.

Vinginevyo kubali yaishe; aiondoi ukweli Samia ni raisi wa hovyo kweli kweli.
 
""Ulevi wa uongozi ni jambo baya kweli,unapokuwa kiongozi sauti yako huwa na nguvu kweli kwa umma lakini madaraka yanapoondoka na sauti yako huwa imeondoka pia,kibaya akili yako ikibakia mlemle kana kwamba wewe bado ni kiongozi,unageuka kichekesho kwa umma mzima,maana kinachotokea huwa hakuna anayekusikiliza tena kama vile awali ""
#crocodiletooth philosophic view!
 
""Ulevi wa uongozi ni jambo baya kweli,unapokuwa kiongozi sauti yako huwa na nguvu kweli kwa umma lakini madaraka yanapoondoka na sauti yako huwa imeondoka pia,kibaya akili yako ibakie mlemle kana kwamba wewe bado ni kiongozi,unageuka kichekesho kwa umma mzima,maana kinachotokea huwa hakuna anayekusikiliza tena kama vile awali ""
#crocodiletooth philosophic view!
Unatakiwa kuwa na maslahi binafsi kwa uongozi wa sasa ili ujiwehushe kuto muelewa Polepole.

Sasa utaiba mpaka lini, surely lazima ujipange hizo hela unazokwapua kutoka serikalini uzitumie kama mtaji wa kukutengezea hela nyingi zaidi.

Uwezi kuishi kwa kutegemea kuiba serikalini miaka yote; unalemaza na kizazi chako.

Ukishaiba jaribu kufanya miradi, sio kuishi na akili ya kuiba milele.

Idiot you.

Yaani jitu linawaza kuiba tu hela za maskini, lenyewe halina mpango la kukuza mtaji wa hela linazoiba.

How stupid are you
 
Back
Top Bottom