Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

..wewe ridhika na makombo unayotupiwa na wanaokutuma..umshambulie Polepole, huna tofauti na mbwa koko asiye na pa kuishi..Polepole sio saiz yako!
Wewe mtoto wa malaya usiyejua baba yako halisi, unajuwa kutukana tu
 
Aisee hii ,kauli ni kubwa sana , kwamba Ndugai mpaka sasa malengo yanamsaidia nini ,
Wachache watamwelewa kwa hoja hii
Mnyama asiye na malengo ni Pimbi. PIMBI’ kwa lugha ya kigeni wanamwita ‘HYRAX’.Pimbi ni jamii ya wanyama wenye maumbile madogo na vimo vifupi sana ambao wanapatikana maeneo mbalimbali hasa barani Afrika.
Screenshot_20250811_072357_Chrome.jpg
 
Uko sahihi sana, tunamjua Polepole vizuri na nini alisimamia kipindi cha dhalimu magu. Lakini sasa tunajua anasema ukweli, japo hakuuishi kipindi akiwa kwenye mlo.
Polepole ni mhuni anayezungumzia uhuni wa wahuni wenzake pale ambapo yeye siyo mnufaika wa uhuni huo. Wote ni wahuni tu.
 
Wewe unapotosha. Sio kwamba hana malengo bali hana malengo hayo ya nyumba, kuendesha gari nk vitu ambavyo Unaweza kusema ni basic needs.
Yeye sana malengo makubwa ya kuijenga nchi yenye haki na utawala bora.
Ana malengo makubwa zaidi ya basic needs
Polepole ni psychopath ambae yupo desperate na kuwa nje ya cycle za maamuzi.

Na anavyojifanya mjanja, alikwisha nusa dalili za kutenguliwa, akajiwahi ili ku play a victim card ya kizalendo na as usual, wapinzani washapata fotokopi ya mandela kupitia chakubanga 😁😁😁
 
Huyu alishachanganyikiwa kitambo tokea basha wake Magufuli alipofariki, ukiona mtu wa upinzani anamuunga mkono huyu bwana ujue nae kachanganyikiwa
 
Watu waliosafishika akili au enlightenment huwa wapo kama pole pole .

They knows the meaning of the life .

Kuwa MTU useless like The former Speaker unakufa watu wanalipuka kwa shangwe ni aibu sana.
 
Kwa nchi gani hata ajiwekee malengo?
Hizi hizi ambazo Trump anaziita shitholes?!
Kwa kweli serikali zetu waafrika zijitathimini sana.
Malengo ya watu wengi huwa yanakwamishwa na serikali badala ya kufanikishwa.
Hainishangazi kuona watu wanashangilia vifo vya viongozi wao kwa sababu ya tabia hizi za kishenzi. Mtu anakuwa kiongozi na hapo hapo anaweka utu pembeni, badala yake anajali maslahi yake na familia yake tu.
 
Kwa wasiomjua Polepole, wanadhani ni sauti mpya ya mabadiliko.
Kwa tuliomwona alipokuwa na nguvu tunajua huu ni mchezo wa kusaka huruma na kujinufaisha kisiasa
Anatafuta jukwaa jipya, baada ya kupoteza lile la zamani Bwana Slow Slow ni Fisi View attachment 3437836aliye jivika ngozi ya kondoo
Hii Baiskeli, ukiendesha dakika moja Mbupu zote huna lazima upasue zote
 
Anajua anachosema, anajua amefanya, anajua pengine kesho yake ni giza.
 
Ninavyomuona Polepole, "ni mtu mwenye upeo mkubwa wa kufikiri na hana tamaa" Ni watu wanaotakiwa kuwa viongozi katika bara la Afrika. Hafikirii tumbo lake tu. Ni kati ya watu wanaotakiwa kulikomboa bara la Afrika.
Ukombozi wa bara la Afrika? Leo? Duh sasa akina Nyerere, Nkeumah, Sekou Toure, Kaunda etc walikomboa bara gani?
 
Kwa wasiomjua Polepole, wanadhani ni sauti mpya ya mabadiliko.
Kwa tuliomwona alipokuwa na nguvu tunajua huu ni mchezo wa kusaka huruma na kujinufaisha kisiasa
Anatafuta jukwaa jipya, baada ya kupoteza lile la zamani Bwana Slow Slow ni Fisi View attachment 3437836aliye jivika ngozi ya kondoo
Form six HKL pale Benjamin mkapa secondary form six ya pili yeye na hajui manara na brother angu mmoja now yupo 45's
 
Back
Top Bottom