Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

Sina shida na wahuni wa juzi wala wa sasa, ila issue ni kwamba huyu Polepole alikuwa mtumishi wa DIKTETA Magufuli ambaye ndiye chanzo cha sintofahamu zote hizi
Uko sahihi, ni juu yenu kuwasema makatili wa wakati wa dhalimu magu, ila Polepole naye anawasema wa sasa. Hata hivyo umeshachangia tone tone ya ccm?
 
Uko sahihi, ni juu yenu kuwasema makatili wa wakati wa dhalimu magu, ila Polepole naye anawasema wa sasa. Hata hivyo umeshachangia tone tone ya ccm?
Hawahitaji tonetone wale
 
Hana malengo na maisha yake, ila anataka kuipangia CCM na taifa malengo, takataka kabisa.. Dada yake hana mine, Pole pole hana familia, kuna namna hapa wanapinda
 
Back
Top Bottom