🤣Kwa wasiomjua Polepole, wanadhani ni sauti mpya ya mabadiliko.
Kwa tuliomwona alipokuwa na nguvu tunajua huu ni mchezo wa kusaka huruma na kujinufaisha kisiasa
Anatafuta jukwaa jipya, baada ya kupoteza lile la zamani Bwana Slow Slow ni Fisi View attachment 3437836aliye jivika ngozi ya kondoo