Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

Kwa wasiomjua Polepole, wanadhani ni sauti mpya ya mabadiliko.
Kwa tuliomwona alipokuwa na nguvu tunajua huu ni mchezo wa kusaka huruma na kujinufaisha kisiasa
Anatafuta jukwaa jipya, baada ya kupoteza lile la zamani Bwana Slow Slow ni Fisi View attachment 3437836aliye jivika ngozi ya kondoo
Uko sahihi sana, tunamjua Polepole vizuri na nini alisimamia kipindi cha dhalimu magu. Lakini sasa tunajua anasema ukweli, japo hakuuishi kipindi akiwa kwenye mlo.
 
Kuna watu wanaumia kabisaa uki msema polepole, wanamuona kama mkombozi vile.
Kunaneno linaitwa "JUHA"
Hao watu ni ma JUHA
 
View attachment 3437814 Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
Wewe unapotosha. Sio kwamba hana malengo bali hana malengo hayo ya nyumba, kuendesha gari nk vitu ambavyo Unaweza kusema ni basic needs.
Yeye sana malengo makubwa ya kuijenga nchi yenye haki na utawala bora.
Ana malengo makubwa zaidi ya basic needs
 
View attachment 3437814 Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
Yupo sahihi kabisa. Kama hajaoa hadi leo hana mke wala watoto na kwa umri huo si ni kweli hana malengo? Ishu ni wale wa kujifanya kuiga kama Mdudu. Mke na mapacha wanahangaika tu sasa hivi hadi kuishia kumwamini Mwabukusi (ahahahahaha Mwabukusi) eti atamleta mume na baba! Ahahahahaha!!
 
Kwa wasiomjua Polepole, wanadhani ni sauti mpya ya mabadiliko.
Kwa tuliomwona alipokuwa na nguvu tunajua huu ni mchezo wa kusaka huruma na kujinufaisha kisiasa
Anatafuta jukwaa jipya, baada ya kupoteza lile la zamani Bwana Slow Slow ni Fisi View attachment 3437836aliye jivika ngozi ya kondoo
Samia-OIL CHAFU AONE AIBU kugombea U-Rais na akina Mwalimu na Mpina.
 
Yupo sahihi kabisa. Kama hajaoa hadi leo hana mke wala watoto na kwa umri huo si ni kweli hana malengo? Ishu ni wale wa kujifanya kuiga kama Mdudu. Mke na mapacha wanahangaika tu sasa hivi hadi kuishia kumwamini Mwabukusi (ahahahahaha Mwabukusi) eti atamleta mume na baba! Ahahahahaha!!
WAUAJI ninyi mtalipwa sawa sawa na matendo yenu, damu ya Mdude itakulaani wewe, watoto na vijukuu wako(kama utabahatika kuwaona). Serikali ya kihuni hii imezalisha WASH3NZI kama wewe mnaochekelea mauaji ya raia kwenye nchi yao.
 
Bado wewe na ni bahati umejificha humu kwa jina bandia. Na kama huogopi kama Mdudu ebu toa jina lako halisi na location uliyopo uone, kenge wewe!!!!
 
We Ms3ng3 nitumie location yako nikutafute, unadhani kila mtu anaogopa hayo magwanda yenu ya CCM? Wauaji wakubwa ninyi, serikali hii ya kipuuzi imewapa nguvu sana.
 
Toa location acha kulialia au kaa kimya, kima wewe!
sa100.jpg
 
We firauni hilo jina la mtoto wa shule ndio jina lako halisi? PM location yako nikutafute mbuzi wewe. Nitumie location nikutafute MAN TO MAN, uone kama utasimama mw3ndawazimu wewe. Hizo bunduki zenu zinawatia ukichaa sana.
Ngoja niachane na mjinga kama wewe, ila ujue JF ni kichaka kidogo sana. Kikichomwa moto utachomokamo tu! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom