PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

1756635860463.png
Kilaza SLUG hajui hata kudanganya!
😅 :peepoSpeed:
NB: 1. Kwa bei ya Polepole ya gesi,Cuba, nchi hiyo ingekuwa kimbilio la 'wanyonge' wote Duniani!
2. Hata kwa 'psychology' ya kiwango cha chini kabisa, ukiangalia tu macho yake na unyevunyevu wake, anapowasilisha 'story' zake nyingi, utaona kabisa huyu mtu ni muongo na nafsi inamsuta!
3. Wakati shujaa wetu, JPM, anatutoka, hivi viumbe vilivamia BOT na kuchota humo vilivyoweza kuchota! ... dhahabu yetu, pesa zetu za madafu na za kigeni ndizo sasa zinaendesha hizi harakati za akina polepole! WOTE WEZI TU!
 
Back
Top Bottom