Akili yako kisoda, waliomtowa Membe asikanyage tano bora ni nani?
Kama JK alimshindisha Magufuli alishindwa vipi kumshindisha mrithi wake aliyemuandaa Benard Membe?
Ubongo wako ni wa kuvukia barabara tu.
Bado ujajibu swali langu nani kampeleka JPM top5 kama sio Jakaya kwani mbona walikuwa wengi kwanini wabaki wa5 ninani kachagua iyo top 5 alikuwa Edward Lowassa!!!!!!!!!!
Walipitia vigezo vip wengine wote wakose vigezo wabaki wa5 na jina la JPM lipo.!!!
Shida yako umekalilishwa na wengi km ww mnashida ya kufanana!!!
kutumia akili zenu hamtaki unategemea mwengine ndio anawaza kwaajili yako!!!!
changamsha akili yako zaidi na zaidi !!!
Chukua iyoo rip Bernard MEMBE ni Jasusi mwelevu zaid nchini!!!
Kwapamoja na Jakaya ndio wamepanga mipango yote hadi kukatwa kwake yote ni mipango yao watu 2 kuuzima mtandao wa rip Edward Lowassa!!!!
lengo lao ni moja tu kukatwa kwa Lowassa lkn Chama kibaki Salama na umoja wake iyo ndio project kuu!!!
kuwa Jakaya au Membe walikuwa na mpango wa Urais 2015 kiakili tu ingekuwa ngumu!!!
vip Benjamin William Mpaka atoke kusini na Membe atoke kusini ndani ya muda mchache kama ule!!!!
Jakaya kaweka nguvu kwa Membe lengo likiwa kupambana na nguvu za Edward Lowassa kwenye Chama kufanya wanaccm kuamini kuna vigogo wa2 wanapambana na wenye uzito wa kufanana kishaaaa
kisu woteeeeee!!!!!😇😇
Wakose woteeee 😇😇
na tunavunja makundi yote.
Bila iyo project kutengenezwa Membe kishindani kweli kweli leo CCM ingekuwa sawa na NCCR Washagawana fito !!!
Jakaya Kikwete master plan hatari sana
Ugomvi wa rip. JPM na rip. Membe ni kiini macho cha wajinga tu kufunika kombe..