Jamaa ni bilionea... Si ajabu ndiyo maana kule kigamboni alikatwa😄😆Makonda ndiye alitoa password kwa wauaji wa Magufuli ndiyo maana yuko pamoja nao leo hii bega kwa bega.
Kosa lake ni kuua demokrasia na kuamini kuwa maadui zake walikuwa Chadema kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja.Tuliwaasa Magufuli ni jembe matusi yakawa mengi. Haichukui muda kujua mtu aliye-real.
Hata wewe utakubali kukosolewa sakata la makinikia mkuu, unaweza kukubali kukosolewa ujenzi wa bwawa la nyerere, unaweza kubali kukosolewa pesa kuziingiza kwenye miundombinu kama madaraja, barabara flyover, n.k.Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Dar ana majumba ya kifahari, Arusha ana majumba na mashamba ya kahawa, hapa Mwanza ana mahekalu na Musoma pia.Jamaa ni bilionea... Si ajabu ndiyo maana kule kigamboni alikatwa😄😆
Nilichojifunza watu hawawi wema kwa kuwa aliyeko madarakani ni mwema, bali ni kutokana na mfumo unaowalazimisha wawe wema.Nikiona mtu anakuja na ngonjera za kumsifia katili magufuli namuona kama mpuuzi tu, kipindi cha magufuli watu wameiba pesa za umma. Kina makondo, sabaya ni mabillionear kupitia magufuli, magufuli amaea watu kwa maslah yake binafs.
Mkuu una akili kubwa sanaMambo mengi hujengwa kwa kufuata taswira ya mitazamo yetu. Leo unajiuliza imekuwaje waliokuwa wapinzani wake ndani ya CCM Leo hii ndiyo wameshika hatamu za kiuongozi ndani ya CCM na serikali?
Halafu kama ni yeye binafsi ndiye aliyekuwa hataki kukosolewa... Mbona hawa wa sasa ndiyo wamezidisha mbinyo kwa wakosoaji wao?
Aliminya kwakua alijua hao pia wanatumiwa na siyo demokrasia kama inavyodaiwa...Mbona mnaelezwa hizo proxies zilizoundwa Kwa sababu maalumu? Au hata kumwelewa Slow slow bado?Wabongo wengi ni kama walianza kumjua Magu akiwa Rais...
Lakini ka utakuwa ulimfuatilia tangu akiwa waziri, jamaa alikuwa mwamba sana...
Kuminya siasa mbadala na CCM hii ndio kasoro pekee katika uongozi wake iliyoweka doa jeusi...
TAKUKURU wanahangaika na Maafisa misitu ( sisemi siyo sawa) wanaochukua rushwa za wachoma mkaa.Dar ana majumba ya kifahari, Arusha ana majumba na mashamba ya kahawa, hapa Mwanza ana mahekalu na Musoma pia.
Na sisi tukikusikia unasema ukatili wake tunajua wewe ni kizazi kile kile cha nyokaNikiona mtu anakuja na ngonjera za kumsifia katili magufuli namuona kama mpuuzi tu, kipindi cha magufuli watu wameiba pesa za umma. Kina makondo, sabaya ni mabillionear kupitia magufuli, magufuli amaea watu kwa maslah yake binafs.
naomba unisamehe ndugu yangu,najua ukipitia comment zangu tulipishana sana hasa la kumuhusu MAGUFULI, sikujua kama haukua unajua aliyokua anayapitia, nikadhani ulikua unafanya vile tu kwa sababu tu umpendi ,KARIBU SASA UJIUNGE NASI Hata yule aliepigwa risasi ilikua ni connection ya maneno ya lisu na Magu , Wanamtandao wakamaliza kazi, kuna mengi tu subiri kuyasikiaWakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
alikua anwajua sana maadui zake hukumsikia pole pole?Kosa lake ni kuua demokrasia na kuamini kuwa maadui zake walikuwa Chadema kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja.
One sided story is always like thatWakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Na hili ndilo kosa la JPM na Mwl JKN kutegemea self integrity zao badala ya kujenga mifumo ambayo haina conflict of interests.Nilichojifunza watu hawawi wema kwa kuwa aliyeko madarakani ni mwema, bali ni kutokana na mfumo unaowalazimisha wawe wema.
Makonda alifikishwa kwenye Tume ya maadili ya umma, nini kilitokea... Sabaya alifikishwa mahakamani, mahakama iliamua nini?
True...people never listen both sides to come up with their third story. Hii ndiyo yule adui wa tatu wa watanzania "UJINGA"One sided story is always like that