Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Kosa kubwa alilifanya, kukubali kukaa nao meza moja. That was a deadly mistake, iligharimu maisha yake.

Wengine tulimuelewa, tulielewa falsafa zake na nini alikuwa anafanya!!
 
Simple atokeze mtu mwingine atetee mazuri ya jk na aseme mabaya ya magufuli tupime kwa mzani kama hamna means Jpm ni mshindi uko alipo
Hayo unayoongea wewe ni sehemu ya akili za kishabiki. Yale yale ya team Diamond na team Ali Kiba, ni utoto wa mitaani.

JK alimuachia kijiti JPM na yeye aliachiwa na Mkapa ambaye aliachiwa na Mwinyi. Hakuna namna ukamlinganisha Magufuli na Kikwete. Kumbuka Kikwete alimpa uwaziri JPM akafanya kazi ya maana katika wizara ya uchukuzi.
 
Hahahaaha akili za Chadema ndio hizi sasa.. Hata JK kipindi cha Magu alisifiwa sana, Mkapa kipindi cha JK alisifiwa sana na sasa JPM kipindi cha Samia anasifiwa sana. Samia atasifiwa sana awamu ijayo. Hao ndio vichwa maji wa Chadema pamoja na wale CCM wanaokosa ulaji kwenye awamu husika..

Hata mpewe katiba ya namna gani ila kwa akili hizi CCM itaendelea tu kutawala.
 
Mawazo ya kijinga kama haya ndiyo yalimwangusha Magufuli na yakatufikisha hapa. Haya nikubaliane na huu ujinga kuwa hakuna upinzani wa kweli... kwa nini wasiweke mazingira mazuri kwa upinzani kuwepo kwa sababu ni jambo muhimu sana kwa nchi?
Upinzani Gani acha ujinga wewe tanzania hamna upinzani hivyo vyama vinavyoigiza upinzani vikiingia navyo vinakua kama ccm tu hapna lolote. Hapo
 
Alimuachia ndio lakin kwanin jpm alik
Hayo unayoongea wewe ni sehemu ya akili za kishabiki. Yale yale ya team Diamond na team Ali Kiba, ni utoto wa mitaani.

JK alimuachia kijiti JPM na yeye aliachiwa na Mkapa ambaye aliachiwa na Mwinyi. Hakuna namna ukamlinganisha Magufuli na Kikwete. Kumbuka Kikwete alimpa uwaziri JPM akafanya kazi ya maana katika wizara ya uchukuzi.
Uwa ataki ushauri wa kikwet alikuwa anamfuata Mkapa we ujiulizi
 
Kuna jamaa mmoja aliachiwa urithi wa kiwanja maeneo ya Oysterbay, baada ya baba yake kufariki, akawa analalamika kwanini baba yake hakujenga nyumba! Yaani hakushukuru kuwa amechiwa raslimali yenye thamani na ni jukumu lake kuiendeleza. Na wanaomlaumu Nyerere kwa sababu ya mfumo wako hivyo. Hivi miaka yote tumeshindwa kurekebisha na tunabaki kutaka kufanyiwa kila kitu? Yeye alitupa usia mzuri sana... hii katiba akija rais mbaya atawaangamiza...
Watawala wanaua, kutia vilema na kudhalilisha kuliko kukubali mfumo urekebishwe. Kwao ni suala la kufa na kupona. Unachopendekeza hapa ni kuwaambia Watanzania wawe tayari kufa kurekebisha hiyo hali. Sikatai, ipo siku itafika hawatakuwa na budi kuirekebisha - kwa gharama ya jasho na damu. Lissu & co. ni prelude.

Wakati ule Nyerere pekee ndiye aliyekuwa na nguvu kubwa ya kurekebisha katiba na mifumo ya utawala kabla hajakabidhi kwa waliomrithi madaraka - kama vile baadaye aliposisitiza hatuna budi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi. Yeye alijua vizuri sana uhalisia wa ubovu wa mfumo tuliokuwa nao lakini kuliko kuhatarisha mustakabali wa CCM, aliona bora awaachie "fisi" nyenzo kama zilivyo kwa matumaini watageuka na kuwa na tabia nzuri kama yake!
 
Wanaomjuwa magu vizuri ni wale wauza masofa leaders kule
Wale ndiyo wanamjuwa magu vzr sana maana kuna wakati magu alikuwa jioni anaenda na anakaa nao anapiga stori nao
Mimi binafsi nishabahatika kumuona mara kadhaa pale

Ova

😀

Kwa mbele kidogo kwenye zile flats opp na KCB si ndio wanasema alikuwa anakaa mchuchu wake wa kando...
 
Watz hawajui wanataka nini
Acha wateseke

Baba wa watu alitukanwa matusi yote,mpk wengine kumuombea kifo,wakiongozwa na Kigogo twitter

Leo mnaleta unafiki wenu,eti umemuelewa
 
Watawala wanaua, kutia vilema na kudhalilisha kuliko kukubali mfumo urekebishwe. Kwao ni suala la kufa na kupona. Unachopendekeza hapa ni kuwaambia Watanzania wawe tayari kufa kurekebisha hiyo hali. Sikatai, ipo siku itafika hawatakuwa na budi kuirekebisha - kwa gharama ya jasho na damu. Lissu & co. ni prelude.

Wakati ule Nyerere pekee ndiye aliyekuwa na nguvu kubwa ya kurekebisha katiba na mifumo ya utawala kabla hajakabidhi kwa waliomrithi madaraka - kama vile baadaye aliposisitiza hatuna budi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi. Yeye alijua vizuri sana uhalisia wa ubovu wa mfumo tuliokuwa nao lakini kuliko kuhatarisha mustakabali wa CCM, aliona bora awaachie "fisi" nyenzo kama zilivyo kwa matumaini watageuka na kuwa na tabia nzuri kama yake!
Nakuapia ni organization tu. Wakijitokeza watu wengi kwa wakati mmoja, hawatathubutu kuua wengi. Anyways, hata tukiogopa kuuawa bado kuna mambo mengi tu yanayosababishwa na utawala mbovu ambayo yanaua watu kila siku tena zaidi ya kuuawa na dola kwa kuandamana. BTW ni kwa sababu hatuna maarifa tu, siyo lazima kuandamana. Hebu fikiria hili: sasa hivi wanasomba watu kwa maelfu kwenda kujaza mikutano ya Samia. Kwa nini tusikubali kusombwa kwa wingi kabisa na wengine tujitokeze, halafu ghafla anapoonza kuhutubia tumgeuzie kibao, tuanze kuzomea na ku-charge kuelekea jukwaani?
 
Ukanda siyo kweli.... Hizi ni propaganda tu. Ila la kukataa kukosolewa ndiyo linaloleta ukakasi. Jee ilikuwa ni tabia yake ya asili au ni matokeo ya taarifa alizokuwa anapewa?
Tukio la Lissu kushambuliwa na wahusika kutopatikana bado ni doa kwenye utawala ule.
 
Haukuelewa hata hili? JPM hakuwa msukuma na maadui wangetumia hiyo kumdhoofisha ikabidi aji align na hao wa Kanda ya huko Ili angalau awe na uhakika na support Yao na hapo alifanikiwa. Ili watu waku support si lazima kuonyesha kuwa upande wao?

Shida ya watu wetu wengi hata waliosoma hawajafundishwa critical thinking...Wanachukua vitu at face value na lip service. They cannot discern intents. Na waovu wanajua hilo
Ni shida ya mfumo wa elimu ya Tanzania
 
Unaandika kama kanya bata, Magufuli amechaguliwa na kambi ya Lowasa kumkomowa Kikwete.
Wabongo matatizo sana sasa kaandika kama mwenye uhakika!!!

tujibu nani kambeba JPM kumfikisha pale top 5 ??? kama sio. JAKAYA vip leo kumkomoa kikwete kwa chagua la JK uyo uyo !!!¿¿¿¿

pengine ww ndio kijana tegemeo la Taifa uwezo wako wa kufiri ndio uwo !!!

Bado tutawaona CCM wabaya kwa kumpigia kura kijana mwenye uwelewa kama uyu !!
CCM hatuna zambi kabisa😂😂
 
Akili yako kisoda, waliomtowa Membe asikanyage tano bora ni nani?

Kama JK alimshindisha Magufuli alishindwa vipi kumshindisha mrithi wake aliyemuandaa Benard Membe?

Ubongo wako ni wa kuvukia barabara tu.
 
October tunatik na ole wenu baada ya uchaguzi muanze kulalamika maisha magumu, unajiuliza hawa wanaokwenda kwenye hii mikutano ya kampeni akili zao zikoje? wanaishi Tz au nchi nyingine
 
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.

Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.

Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.

Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.

Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.

Ukweli utajulikana siku moja.
Unalipi la kumwambia Lisu aliyemuita Jpm,dikteta uchwara
 
Back
Top Bottom