Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 80
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.
Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.
yeye mwenyewe fisadi,
rejea alivyogawa rushwa wakati wa kampeni ya udiwani kiwira kule mbeya