Pole sana Mama Shupavu Anna Killango

Status
Not open for further replies.
hivi Anna Kilango bado ni mpambanaji wa ufisadi na mafisadi?
 
kilango hana impact
tena,amekuwa mnafk na kigeugeu na ndicho kilichomponza.ni kwel anaweza
kuwa na uwezo kiutendaji ukimlinganisha na simba,bt kashindwa kuchanga
karata zake well hayuko kwa mafisad na upande wa wapambanaji anaonekana
mnafki na mganga njaa tu.
Hapo umenena ndugu! huyu mama wa kipare nilimwaminia sana kumbe ni wale wale
 
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.

Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.

Namkumbuka sana Mama Anna kilango ,alikuwa mpiganaji sana hasa suala la mafisadi, l lakini baadaye akaanza kujihusisha na rushwa (kumbukeni uchaguzi wa Diwani kiwira,mbeya) kama mulisikia kwenye vyombo vya habari watu waliokuwa wamejifungia kwenye nyumba moja pale kiwira wakitoa rushwa kwa baadhi ya wapiga kura wakina mama, Anna kilango ndiye aliyekuwa muhusika mkuu ,Baada ya chadema kugundua na kuanza kuwazingira ,yeye ndiye aliyempigia simu mkuu wa mkoa wa mbeya,hadi vikosi vya polisi vikafika pale na kuanza kupiga mabomu ya machozi.

"Huwezi kukemea ujambazi wakati rafiki zako wa karibu ni majambazi " fanya maamuzi achana na mambo ya rushwa njoo kwenye chama kinachomtegemea Mungu katika shughuli zake i.e CDM.
 
ukiandika andiko lolote basi liwe consistent huku kwenye kichwa cha habari unamuita shupavu kwenye body unamuita kigeugeu sasa wewe ulipokua unaandika ulikuwa timamu au viroba? sisi wasomaji tumchukulie kama shupavu au kigeugeu?? hakuna shupavu kigeugeu, shupavu ni shupavu kigeugeu ni kigeugeu!
 
Huyu hana lolote, tangia agawe hela za rushwa kwenye uchaguzi wa kiwira, hata hata comfidence, hana lolote! Mapovu tele
 
Kilango ni Fisadi Mkubwa ametumia zaidi ya million 600 kuhanga wanawake wamchague. WamemkAtaa kwa Tabia zake za uongo,UNAFIKI,ukali na vitisho,mgomvi na tapeli pia. Kelele zake za Bungeni ni sawa na Debe tupu. Humjui Huyo Mrs.Anne Nyange,Mrs. Anne Natepe na Sasa Mrs Malecela. Anne angeua kabisa UWT.
 
Kilango Sasa kimefungwa na Simba. Yaishe

Kule Bungeni alitamba na kusema eti JK amemwambia agombee. Mzushi huyooo. First lady wa Dodoma. Hata Wagogo wa Dodoma wamefurahi kushindwa kwa Anne kwa jinsi anavyo mtesa Mzee Malecela. Shame kwa wabunge waliokuwa wanampiga vita Simba kwa sababu ya agenda ya Ukomo na kukataa kuchangia Fedha UWT. Amewatoa Ushamba wao wa kisiasa. Na Shyrose alifuata mini pale alipokaa Simba. Au Alisha vuta.
 
Wapambanaji wa ufisadi
1.Samuel Sitta-Waziri
2.Anne Kilango
3.Ole sendeka
4.Stella Manyanya-RC ruvuma
5.Fredy Mpendazoe
6.Dr Harrison Mwakyembe-Waziri
 
Apumzike siasa amlee mzee wetu mpendwa John Samuel Malecela pia amlee na mwanae wa kufikia Le mutuz
 
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.

Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.

The biggest challenge for leaders is to know if your team is following you or chasing you!

That is her biggest challenge. She has an answer. Kilango ni mmoja wa wale wachache wanaosema "I will fight from within CCM". Let her continue and we will see the results of fighiting from within. Killango thinks those who left CCM are stupidy but in really sence they are intelligent than her....

So she waits again in 2017 to contest again???
 
Ana ushupavu wa kifisadi........muongo mkubwa huyo mama....alituhadaa kweli watz eti naye anapinga ufisadi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom