danceforme
JF-Expert Member
- Aug 3, 2026
- 303
- 774
Ladha yake naimani itakuwa safiAkikatwakatwa anakuwa hiviView attachment 3652195
Ladha yake naimani itakuwa safiAkikatwakatwa anakuwa hiviView attachment 3652195
Wewe utakuwa wa kanda pendwa@Ugali wa muhogo, right?Kama vile Tambi au utumbo almaarufu kama "Turbo".
Halafu uitafune kavu ivo bila mchuzi na ugali wa mhogo.
WeweAkikatwakatwa anakuwa hiviView attachment 3652195
Mkuu check pm nimekuonanaijua ndugu yangu lakin cjawai iingia ndan kujua kuna machatu yanapikwa
Exactly right.Wewe utakuwa wa kanda pendwa@Ugali wa muhogo, right?
👍🏼👍🏼Exactly right.
Daaah mkuu unazingua 🤣🤣🤣Hawa nyoka wa tanga bhana haya kama huyu namuandaa vp?
Limezungumziwa pishi la nyoka nami ndo nyoka niliyempata huyoDaaah mkuu unazingua 🤣🤣🤣
Inatamanisha sana hii.
Hii kwa wakazi wa kintinku unauziwa usiku wakati wa safari
Mbona hii haina shida? We kula moja-kwa-moja usiulize au kudodosa.Hii kwa wakazi wa kintinku unauziwa usiku wakati wa safari