Pishi la nyoka: mishkaki ya cobra

Pishi la nyoka: mishkaki ya cobra

Naamu 🥰🥰🥰.
Hapo unashushia keupe.
TZS 468 LN 0129 Konyagi & More on 2 Great East Afr.jpeg
 
Niliwahi piga KEUPE ka mwanza, daah wanatuchanganyi fekero nyingi sana tukiwa tunayumba. Mpaka leo sijawahi pata keupe kakali kama kale. Nilizima wakati kawaida napiga mls 750 na bado na drive vizuri sana ila that day nilizima.
Ujue huu msemo wa keupe nimekuja kujua ni konyagi kwa kuchelewa sana😁.
 
Niliwahi piga KEUPE ka mwanza, daah wanatuchanganyi fekero nyingi sana tukiwa tunayumba. Mpaka leo sijawahi pata keupe kakali kama kale. Nilizima wakati kawaida napiga mls 750 na bado na drive vizuri sana ila that day nilizima.
Duh pole sana hivi vifekelo vinadhuru mpaka nguvu ujue🙌🏿
 
Ndio mkuu
Kuna samaki mmoja huko Japan wanakula anaitwa pufferfish, huyo samaki unapokwenda sokoni kununua unamkuta kwenye tank la maji, na anaandaliwa na wataalamu ambao wapo certified kumuandaa..

Pufferfish akitolewa kwenye maji halafu ukachelewa kumuandaa akifa, organs zake zenye sumu huachia sumu kwenda kwenye mwili wote, na nyama yote inakuwa na sumu...

Hivyo akitolewa tu kwenye tank, master chef ambao ni certified humkata haraka haraka na kuondoa organs zenye sumu akiwa bado mzima, zoezi zima hufanyika haraka ili sana.

UKimtoa tu kwenye tank huwa anaanza kuvimba hivi, hivyo bila kuchelewq unaanza kumkata haraka sana na kwa ustadi...

Kuna familia nyingi huko Japan ambapo zilipoteza maisha tokana na kukosea kumuandaa huyo samaki...

Serikali imeweka sheria kali dhidi ya ununuaji na uandaaji , akishanunuliwa tu anaandaliwa hapo hapo na wataalamu.. unless kama unamnunua kama pet kwa urembo nyumbani..

Jamaa wana roho ngumu sana, maana huyo samaki ana sumu kali.. ila wanamla kama sushi... au wanaweza kumkaanga, wanasema ni mtamu balaa..
_99610433_gettyimages-147551571.jpg

images

2b1d6b0a-79c5-11e8-8ce4-b59b2fedb43f_image_hires_133353.JPG
 
[I ate] Snake Casserole - tastes amazing! #food #f.jpeg

Back
Top Bottom