Pishi la nyoka: mishkaki ya cobra

Pishi la nyoka: mishkaki ya cobra

Nyama yake ikipikwa vizuri ni tamu...


Cc: Mahondaw
Hata choma
Grilled eel with salt.jpeg
 

Attachments

  • หมีแพนด้ากินน้ำผึ้ง🐼🐼🐼A_panda_eating_honey_🐼🐼🐼正在吃蜂蜜的熊猫_🐼🐼🐼_#panda_#honey_#tiktok_#viral.mp4
    900.9 KB
Jamani atleast tusile wanyama ambavyo wanakula binadamu wenzetu kama nyoka, mamba na wengineo. mnaokula hayo makitu hivi hamuoni kama mnakula binadmu wenzenu?
 
Jamani atleast tusile wanyama ambavyo wanakula binadamu wenzetu kama nyoka, mamba na wengineo. mnaokula hayo makitu hivi hamuoni kama mnakula binadmu wenzenu?
Hata binadamu wanaliwa tena nyama ya binadamu ni very delicious na haihitaji viungo vingi
 
Hatua ya kwanza katika kuandaa mishkaki ya nyoka ni kufanya usafi na kuondoa sehemu hatari kwa umakini mkubwa kwa kukata kichwa chake na kuchuna ngozi yote ili kuhakikisha tezi zote za sumu zimetupwa mbali kabisa.

Baada ya hapo, safisha nyama vizuri na uikate vipande vya wastani vya mchemraba ambavyo vitafaa kuingizwa kwenye vijiti vya kuchomea.

Hatua ya pili ni kuloweka vipande hivyo vya nyama kwenye mchanganyiko wa viungo na vilainishi ili kuleta ladha nzuri na kulainisha uasili wa ugumu wa nyama hiyo.

Changanya vitunguu saumu, tangawizi, chumvi, pilipili, na unaweza kutumia papai bichi au limao kisha iache ikae kwenye viungo hivyo kwa saa kadhaa au usiku mzima.Hatua ya mwisho ni kutunga vipande hivyo vya nyama kwenye vijiti vya mishkaki ambavyo vimelowekwa kwenye maji ili visishike moto wakati wa kupika.

Choma mishkaki hiyo kwenye moto wa mkaa wa wastani huku ukipaka mafuta au viungo kwa juu na kugeuza mara kwa mara hadi iive vizuri na kuwa tayari kwa chakula


View attachment 3652012
Huku ndio kula kujigalagaza

Au kuchomwa na mwiba wa Kobra haaahaa 😊 ☺️
 
Back
Top Bottom